joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sisi nye nye nye tuna GDP kubwa 😁😁
Short story about kenya 2023
Uongo wa wakenya duniani 👇👇👇👇
View attachment 2545932
Mambo kwa ground sasa 🤣🤣🤣
View attachment 2545933
Wanadharau hawa, hawapendi Tanzania isonge mbele maana itachukua nafasi yao ya magumashiDaah inasikitisha sana kwakweli, ila tusiwacheke tuwasaidie.
economics za jikoni hehe! umeona kenya ikianguka wapi? nyinyi fuata sarakasi tu za politics mkidhani kenya inaanguka lakini baada ya mwaka tutatona matokeoNi matokeo ya yale waliokua wakidanganya dunia kua wana GDP kubwa ili kuonekana kwa watu kumbe ndani ya pazia wana hali mbaya sana
Nitakupa mfano mmoja mdogo tu
Kq inaendesha hasara ya mabillion ya pesa over 10 yrs na hasara ile inatokana zaidi na leasing aircrafts cha ajabu ni kwamba pamoja wanaendesha hasara still inabidi watafute pesa za mkopo kulipa madeni ya kq ya leasing deals kwa takriban zaidi ya miaka 10 sasa hebu chukua hesabu ya haraka haraka kua watakua wamekopa pesa ngapi kulipa madeni yasioweza kurudisha pesa za mkopo ambayo itabidi tena watumie pesa za maendeleo kulipa madeni au wachukue tena loan from peter to pay juma 🤣🤣
Odinga hataki kungoja mwaka.…lakini baada ya mwaka tutatona matokeo
Ndio maana wala sijamjibu. Mombasa imejaa maghorofa kama yake yaliyoanguka Turkey na Syria earthquake. Magorofa below standard yanayipatikana sana kule Yemen na nchi kama hizo.Dar is slum ndio utatuambia ni nini", hiki sio Kiswahili Sanifi, ulipaswa kusema, "Utatuambia nini". Sio " Utatuambia ni nini"
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Takataka na hii MalayawanzaToa hii takataka mzaaee .. bati zina kutu, mtaa mzima gorofa nzuri moja tu
Mjenge hio Malayawanza yenu inakaa Choo. Uswazi cityToa hii takataka mzaaee .. bati zina kutu, mtaa mzima gorofa nzuri moja tu
Takataka na hii MalayawanzaView attachment 2546320
Mjenge hio Malayawanza yenu inakaa Choo. Uswazi city View attachment 2546321
Vipi kuhusu dollars? Ruto amefanikiwa kupata guarantee?Takataka na hii MalayawanzaView attachment 2546320
Kisumu Village City 😁😁
Takataka na hii MalayawanzaView attachment 2546320