Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,682
- 107,111
Nimeshangaa kuona hiz chupa za Mo Energy kwenye hii page ya gazeti la kichina [emoji1]
Ikabidi nisome tena habari nione kama wanaizungumzia Tanzania, lkn hola
hahahaha, pole Sana mkuu. Na Mimi ninatoa ahadi; Endapo KDF watafanikiwa kuwafurusha M23 huko DRC, nipigwe ban ya mwaka mzima.Mods bhn, ilikuwa ubishani wa mechi aisee nilitabiri Arsenal hatoshinda hiyo mechi na kama akishinda nipigwe ban ya wiki nzima, basi kweli bhn mpk dk ya 80 hvii ngoma Arsenal keshapigwa, heee dk ya 90 si akachomoa, wkt dk zikiwa zimeshaisha si wakaongeza cha pili bhn, basi fans wa Arsenal wakamganda Active anilime ban, nikapigwa kweli bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2547269
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hahahaha, pole Sana mkuu. Na Mimi ninatoa ahadi; Endapo KDF watafanikiwa kuwafurusha M23 huko DRC, nipigwe ban ya mwaka mzima.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kisa chako ni bab kubwa mzee wa kazi,mashabiki wa arsenal siyo poa@Mods bhn, ilikuwa ubishani wa mechi aisee nilitabiri Arsenal hatoshinda hiyo mechi na kama akishinda nipigwe ban ya wiki nzima, basi kweli bhn mpk dk ya 80 hvii ngoma Arsenal keshapigwa, heee dk ya 90 si akachomoa, wkt dk zikiwa zimeshaisha si wakaongeza cha pili bhn, basi fans wa Arsenal wakamganda Active anilime ban, nikapigwa kweli bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2547269
Welcome back brother.Mods bhn, ilikuwa ubishani wa mechi aisee nilitabiri Arsenal hatoshinda hiyo mechi na kama akishinda nipigwe ban ya wiki nzima, basi kweli bhn mpk dk ya 80 hvii ngoma Arsenal keshapigwa, heee dk ya 90 si akachomoa, wkt dk zikiwa zimeshaisha si wakaongeza cha pili bhn, basi fans wa Arsenal wakamganda Active anilime ban, nikapigwa kweli bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2547269