Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

inferiority complex is killing Kundustan!
Sasa wakunya hawajatajwa kinawauma nini? Mbona wao walikua wanasema magufuli alifia kwao wakati ni uongo.

Pia kuna clip ya Uhuru kenyata alikua anasema wao hawakopi kulipa civil servants mishahara lakini nchi nyingine tunakopa hili kilipa mishahara

Halafu inawezekana kuna kitu mmemkwza mama mtakoma watu wa pwani wanapiga na maneno mtatamani kulia
 
Dar is slum ndio utatuambia ni nini eti? uswazi kushoto kulia, kaskazini kusini..., pole, hapa mchezo uliisha kitambo sasa ni vioja tu.., hamna jipya.
Dar is slum ndio utatuambia ni nini", hiki sio Kiswahili Sanifi, ulipaswa kusema, "Utatuambia nini". Sio " Utatuambia ni nini"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kisumu City
1993082933.jpg
 
Back
Top Bottom