Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Diplomasia ya Mama imeanza kufanya kazi..👏👏

Hope Kamala akija atatangaza kuturudishia pes zetu za MCCL
 
The point is, Waafrika mnajidhalilisha kushangilia eti mmetembelewa na viongozi wa nchi za kigeni wakati wenu akitembea kule hata kwa TV haonyeshwi.
Kamwe Tanzania hatushabikii huo upumbavu. Ninyi wakenya ndio wenye huo ujinga, yaani kiongozi wa wazungu akitembelea Kenya, utashangaa jinsi wakenya wanavyojisikia na kujisifia.

Hivi Unakumbuka jinsi wakenya walivyolalamika pale Obama alipoanza kuitembelea Tanzania kwanza kabla ya Kenya?, Ninyi ni watu wa hovyo sana, Yani rais wa nchi nyengine mnampangia ratiba ya nchi gani aanze kuitembelea, stupid.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Saidieni hii nchi 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom