joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Akili finyu..,
Sikiliza kwa makini. Ninyi hamna nchi huko kwenu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Akili finyu..,
When they are desperate they can do anything even eating each other.@Choice Variable , Jamaa zako hao wanaendelea na fujo zao. Never trust these people in anything.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Msituchezee tutazuia guarantee ya dollar za mafuta halafu muanze kutafutana hukonchi yenye chama moja hamtawai jua vile mnatafunwa kamwe., angalau mama aliumbua porojo za muendazake za kutokukopa.., vumilia na hilo taifa lenu hovyo, wachana na ya Kenya, huku hamfiki karne hii.., bado mko kwenye giza, ndio maana hamsongi na hamjui ni nini tatizo..,
Sikiliza kwa makini. Ninyi hamna nchi huko kwenu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbona kariakoo umempeleka mbali mpe kisutu tuu hawezi tia pua hapo.Ukipata concrete jungle ya kutia pua kariakoo unitag nifunge acc leo leo
Nani kakudanganya huu mchezo hautakaa uishe Kenya halafu sisi Tanzania tuna accountability kubwa sana kwa public finance hela inayopigwa ni ndogo sana compared na yenu.Hapo sawa, vitu vinaanikwa wazi wazi..., am having a field day, we will iron out all creases in Kenya.., nyoka lazima akue exposed ndio auwawe, kama amejificha nivugumu kumuua.., Kenya iko sawa, ila Tanzania bado sana, your disease is still hidden or covered...,
Kweli hapo kwenye DGP mmetuzidi hata hatuelewi ni nini hiyo DGPDGP is just gross domestic product. Ki ufupi ni kwamba uzalishaji wetu ipo juu kuwazidi. Inauma ila mtazoea tu
Acha uongo wewe usisingizie global recession kwani sisi Tz na nchi nyingine zinazowazunguka tunaishi Mars?Hapana mkuu., baba ako deluded, even though I voted for him he is not honest.., the current situation is beyond Kenya, ni global recession, triggered by ukraine war and other factors, dollar has strengthned against all major currencies, which is normal kwa any crisis as it is considered a safe haven currency, yaani the wealthy and many corporations buy dollars to hedge their wealth against recession, so dollar na gold zinapungua (dhamani yao inapanda)kwa vile demand iko high, na hiyo ina affect prices ya goods kwa vile bei ya mafuta inapanda as it is quoted in dollars. Raila angekua mkweli angeambia wafuasi wake kuna global recession ukiongezea prolonged drought kisha aulize serikali iko na mikakati ipi kupambana na hali ilivyo duniani, akiona hajaridhika atoe opinion yake wakikataa awasukume.., sio kusema eti Ruto ameshindwa na kudanganya wafuasi wake eti seikali ya Ruto ndio sababu ya masaibu yao he is obviously taking advantage of the situation to gain political milaege., I am an independent thinker.., I voted for his manifesto sio vioja vyake..., apumzike na yeye.., we lost fair and square, nimefanya uchunguzi wa results from many sources...,as team Azimio we lost it.
Hii ni real cargo plane famasiala sio zile za conversion kama za jiraniAir Tanzania 767 Cargo
Muje kuanza kusema sijui mtumba sijui used wakati kitu kimetoka kiwandani Boeing View attachment 2542505
DGP ndio kitu gani???? 🤣🤣🤣🤣🤣DGP is just gross domestic product. Ki ufupi ni kwamba uzalishaji wetu ipo juu kuwazidi. Inauma ila mtazoea tu
Kwasababu ninashangaa Sana jinsi mnavyoishi maisha ya hovyo huko kwenu. Kabla sijajiunga JF, nilikua sijui lolote kuhusu Kenya, lakini baada ya kuanza kuifuatilia ndivyo ninavyozidi kuwashangaa, Yani Kila siku ninaona mambo mapya ya hovyo."Hatuna nchi" yet you be following our news so much, I even get our news from you... even I hardly watch TV News, last time I did was last year...
Kwasababu mpo na vituko Sana, Yani tunacheka na kuwashangaa Sana, ninyi ni Kama wenye matatizo ya akili. Kila siku lazima mje na jambo la kuchekesha na kushangaza.Si mnapenda kufuatilia Kenyan News wadau