Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 16,707
- 11,397
Kilaza mwenzako alisema hizo ni bullet trainsUmeambiwa bullet train imeagizwa na inakuja; mbona wewe nyang'au una haraka hivyo?
Kilaza mwenzako alisema hizo ni bullet trainsUmeambiwa bullet train imeagizwa na inakuja; mbona wewe nyang'au una haraka hivyo?
Wivu hausaidii kitu wewe nyang'au.Kilaza mwenzako alisema hizo ni bullet trains
Fuatilia thread bongolala. Sio maneno yangu ila ni maneno ya kilaza mwenzako Joto la JiweWivu hausaidii kitu wewe nyang'au.
Bullet train inakuja, tulia. Acha kupiga kelele.😂😉Fuatilia thread bongolala. Sio maneno yangu ila ni maneno ya kilaza mwenzako Joto la Jiwe
Ebu tag geza i told him Kenyans are Nala's biggest customers akabishaKumbe Tanzania kwenye mambo ya ICT tuko nyuma sana?tunazidiwa hadi na waganda?
App ya Nala ina ofisi Nairobi, na wateja wake wengi ni wakenya...Guys tuache midomo tushughulikie izo fursa, hatuna technology kwasababu zipi?
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ngojea matusiKumbe Tanzania kwenye mambo ya ICT tuko nyuma sana?tunazidiwa hadi na waganda?
App ya Nala ina ofisi Nairobi, na wateja wake wengi ni wakenya...Guys tuache midomo tushughulikie izo fursa, hatuna technology kwasababu zipi?
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
L.MagadiKenyans Guess the location?
You impose trade barriers we reciprocate thats all. So stop whining here learn to live with neighbours in good terms.Sikiliza bongolala, the balance of trade between Kenya and Tanzania has always been in favour of Kenya. This is why when Magufuli roho chafu took over, he imposed so many trade barriers which affected Kenyan traders and goods entering your country. Hiyo roho chafu ilimfikisha hadi kuchoma vifaranga vya Kenya.
Look at these figures below. In 2020 for instance, the total value of Tanzania's exports to Kenya was valued at $243m while Kenya exported goods worth $295m the same year. During the same period, your leading export to Kenya was rice (unfinished product) while Kenya's leading export to Tanzania was soap (a finished product)
That is enough to remind you that we export more to your country than we import. Secondly, just like I said before, most of your exports to Kenya are raw materials while sisi tunawauzia mostly finished products View attachment 2517607
10 sets of EMUsSasa ushaambiwa kuna 8 set za EMU zinakuja kutoka germany ambazo zina behewa 10 kila moja bado unataka uambiwe nn yani unaumia kwann sasa
Umeambiwa na nani kama kichwa cha bullet haziwez kutumika nani kakupa hzo taarifa mama ngina au???
Matusi ya nn wkt nyie wenyewe mshamjua huyo ni mtu wa aina gani, Wakenya wote mnashangazwa na comments zake mana ni tofauti na mnachokiona humuNgojea matusi
Sasa kuwa customer wa kampuni la mtanzania ni ufahari?Ebu tag geza i told him Kenyans are Nala's biggest customers akabisha
Matusi ya nini?, Mbona shirika la Tanzania la mazao mchanganyiko limefungua ofisi zake Mombasa na Juba Ili kuwasogezea huduma ya upatikanaji wa chakula hamshangai?Ngojea matusi
Tz technology ipo nyuma mno mno,Utahoji hapa na una Google, search for yourself, mnasema mnipuuze ni sahihi,lakini reality haitochange.Na muendelee kupuuza hivyohivyo Watz wanaoeaeleza ukweli itawasaidia sanaN wewe unaaminip hizi takataka.? .. kenya kunap technology Gani wenye wako nayo au wamegundua.?
All of them except Walker255 ....arguing with Kenyans is the best school they ever attended.Nimekwambia the best school joto la jiwe amewai attend ni huu uzi.
Inashangaza sana, yn kiwango cha kujisifia cha Wakenya ni another level.Sasa kuwa customer wa kampuni la mtanzania ni ufahari?
Kwani wewe ni kitu gani Tz iko mbele, unajua hata Wakenya siku hizi wanakupuuza wanakuona hamnazo, unaongelea technology hebu niambie ni nchi gn Africa iliyoanzisha technology yoyote ile unayoijua wewe mpk useme sisi tupo nyuma wao wapo mbele. Siku hizi hata like toka kwa Wakenya hupati, wanakuona mwehu.Tz technology ipo nyuma mno mno,Utahoji hapa na una Google, search for yourself, mnasema mnipuuze ni sahihi,lakini reality haitochange.Na muendelee kupuuza hivyohivyo Watz wanaoeaeleza ukweli itawasaidia sana
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mimi sipo hapa kwa ajili ya likes na kutafuta marafiki, and why nikisema kitu cha ukweli instead m Google kama mnavyofanya kwemye mambo mwengine mnaanza kuzungusha sana kiswahili?Kwani wewe ni kitu gani Tz iko mbele, unajua hata Wakenya siku hizi wanakupuuza wanakuona hamnazo, unaongelea technology hebu niambie ni nchi gn Africa iliyoanzisha technology yoyote ile unayoijua wewe mpk useme sisi tupo nyuma wao wapo mbele. Siku hizi hata like toka kwa Wakenya hupati, wanakuona mwehu.
So wewe ulitaka kuwapita kila kitu we nani katika dunia.Hata remittance waganda wanatuzidi
Tuendelee kupuuA hivi vitu vidogovidogo zikija cumulative reports hapa mnasema data zinapikwaView attachment 2517952
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app