Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani kafake? Mpumbavu ni yule anayependa kulialia bila sababu. Nimekuuliza swali, Kelis ni Mkenya?
Wewe ng'ombe
Screenshot_20240426-160838.jpg
 
nani alilalamika kuhusu mambo yenu??? sisi tunajenga nchi kwa kuangalia maslahi mapana ya Taifa letu pendwa la Tanzania lakini nyie mnajiingiza kwenye mikopo mikubwa ambayo isiyokuwa na maana yoyote eti kwaajili ya kupambana na Tanzania!!!! mtakufa kenge nyie
Muambie akuletee hizo comment za Watanzania wakiponda viwanja vyenye running track.
Nakumbuka ni wao ndio walikuwa wanaponda viwanja vyenye running track.
😂😂😂
 
Samia stadium inakuumiza Sana kichwa unaongea as uwanja mushajenga 😂😂😂

MTU unashangilia cement silos 😅😅😅😅
Mbona uwanja wa 30k seats with a running track iniumize kichwa? Nyinyi wenyewe hata hamjui kama huo uwanja utajengwa in the first place😂😂
 
Kwani running truck inashida gani au inakupunguzia nn?? Na unaumia kwann

Mchina kashapewa eneo kwa SASA anafanya site clearance nashindwa kuelewa kwann munatoa povu as if mushajenga uwanja 😅😅😅
 
Back
Top Bottom