Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo unataka na sisi tuondoke nchini kwetu tukawe watumwa huko ughaibuni?

Tanzania inajengwa na Watanzania wenyewe na mazingira ya nchi yanaruhusu mtu kuendelea kuishi nchini bila bugudha.
Ni vigumu sana explaining to you , ni kama hupati the whole concept. One has to start from scratch, definition of terms then pros na cons...chinese kids are learning quantum physics, relativity theory and astronomy while some adults in Africa don't even understand how foreign remittances work.. it's a shame really
 
Mpaka udaku and everything ni kwamba Tanzanians tupo unique na interesting to watch pia kwenye entertainment wapo creative and resourceful sio kwamba mnatufanyia hisani but the quality forces you to follow ni hivyo tu tunatumia Kiswahili ila tungekuwa tunatumia English Tanzania ingekua maarufu duniani kuliko hata Nigeria.
Okay ni sawa, ila suala ni kuwa mbona kilichotoka Kenya, hata iwe inasaidia uchumi wenu mnabisha sana ni kama kwamba wakenya wamewakosea sana...mbona mna machungu fulani
 
Kama wanapata pesa nyingi kuliko kubaki kenya ni sawa tu,remittance ya $3.7B Vs $570M ni vitu viwili tofauti kabisa.

Ningekuona una logic kama ungesema kubaki hapa ndani tumewazidi GDP tumewazidi GDP per capita ama tumewazidi HDI

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wewe ni taahira, tumewapita Kenya kwenye export almost kwa tofauti ya dollars billions 5 unafikiri manpower iliofanya hiyo export imetoka Korea? On the other hand Kenya is importing 5 times eclipsed the export, huoni tatizo hapo?

Less than 2 million kunyans abroad are working hard than 57 million kunyans within kunyaland

Screenshot_20230114-102543.png
FnQajQZXEA4XKEf.jpeg
 
Kenyans are capitalists, as long as something makes sense for them, they use it without bias, if everyone were to act like Tanzania, refusing kenyan CEOs to work in tz just because they are kenyan, despite experience or burning chicks just because they're coming from Kenya then the world could've been terrible! Wake up! I'm sure most of NALA users didn't decide to use it because of the citizenship of the founder but rather the quality of service
If you know that, why do you want to make it a big deal. Truth of the matter is, Kenyans are forced to like and use Tanzanian products because you don't have alternatives, Kenyans are the number one enemies of Tanzania.

How many times you have tried to pull down Tanzanian music in Kenya through "Play Kenyan music campaign?", How may times you have blocked Tanzanian trucks carrying maize without informing Tanzania Government?. Do you remember what you did to us during COVID-19 crisis, when you decided to block planes from Tanzania?.

Listen, We are free to do anything against any country including Kenya, so long as it benefit our country and our people.
 
Kama wanapata pesa nyingi kuliko kubaki kenya ni sawa tu,remittance ya $3.7B Vs $570M ni vitu viwili tofauti kabisa.

Ningekuona una logic kama ungesema kubaki hapa ndani tumewazidi GDP tumewazidi GDP per capita ama tumewazidi HDI

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kenya unaweza kukuta wana remittances kubwa kuliko hata Japan, UK na USA

Kama umesoma CUBA utakuwa umeelewa.
 
Okay ni sawa, ila suala ni kuwa mbona kilichotoka Kenya, hata iwe inasaidia uchumi wenu mnabisha sana ni kama kwamba wakenya wamewakosea sana...mbona mna machungu fulani
Kwanza hapo kwenye consumers wa kazi zetu sio ninyi tu, Tanzania inatazamwa na nchi zote zilizotuzunguka ni hivyo tu ninyi mnapenda sana recognition na ni maroporopo

Screenshot_20230215-084651.png
Screenshot_20230215-084614.png
Screenshot_20230215-084456.png
 
If you know that, why do you want to make it a big deal. Truth of the matter is, Kenyans are forced to like and use Tanzanian products because you don't have alternatives, Kenyans are the number one enemies of Tanzania.

How many times you have tried to pull down Tanzanian music in Kenya through "Play Kenyan music campaign?", How may times you have blocked Tanzanian trucks carrying maize without informing Tanzania Government?. Do you remember what you did to us during COVID-19 crisis, when you decided to block planes from Tanzania?.

Listen, We are free to do anything against any country including Kenya, so long as it benefit our country and our people.
😂😂😂 Brathe acha kutafutia Kenyans makosa, the truth hurts I know... Nionyeshe mahali Tanzanían music has been banned in kenya... How do you translate "Play kenyan content" as "ban Tanzanían music" or "buy Kenyan" as "ban Tanzanían "
Your comments are very lame..no basis entirely
 
Ni vigumu sana explaining to you , ni kama hupati the whole concept. One has to start from scratch, definition of terms then pros na cons...chinese kids are learning quantum physics, relativity theory and astronomy while some adults in Africa don't even understand how foreign remittances work.. it's a shame really
There is nor country in the world which built it's economy through Remittances, actually Remittances can cause harm to the economies if not we'll regulated.

You need to go outside and bring back technologies and machineries to build the country's economy from within, to enable people to built the economy of the country.

Yes, for short term, Remittances can help some few people, but one of the biggest problem of Remittances is " inflation".
 
Back
Top Bottom