7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,652
- 7,577
Aisee!South Africa ni sabotage inafanywa na Wazungu kwa muda mrefu sana kimkakati ili watu weusi waonekane hawawezi kuongoza. Sio umeme tu, pia, Wazungu wenye maghala makubwa ya kununulia vyuma chakavu, wamewalipa walalahoi wengi hasa wakati wa Lockdown kungoa mataruma ya reli, na yameng'olewa kisawa sawa pamoja na nyaya za umeme kwenye reli to a point hakuna tena treni toka Johannesburg to Pretoria ukiachia Gautrain.
Ni maswala ya kiintelegensia zaidi.