Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daraja la tatu limechangamka hivi,ilo la pili na la kwanza litakuaje...stay tuned
Screenshot_20221125-205628_YouTube.jpg
Screenshot_20221125-205619_YouTube.jpg
 
Muda ni mwalimu mzuri, na zitakapokuja tutakumbusha usijali, we kimbilia kutukana na ili uonekane mmbabe leo,

And why you care kuhusu maintenance?since when you cares about our costs?

Zitakuja EMU kwa short route upende ama usipende zinakuja, pesa ni zetu sio zenu
Amka usikojoe kitandani ukiota.
Nikumbushe emus zikiingia
 
Kichwa cha kuvuta mnaletewa second hand refurbished mzee kama mabehewa
Unaushahidi?sahivi umehamia kwenye kichwa sio? Mtanyamaza kimya, fanya utupostie expressway Maana ndio k2 pekee mnajivunia kwa sasa ...

Haya mambo ya train za kisasa Hamjui chochote...Mmezoea mitumba uko kwenu
 
Amka usikojoe kitandani ukiota.
Nikumbushe emus zikiingia
Tanzania ndiyo nchi yenye uchumi mkubwa usio shaka hapa EA, tumenunua ndege mpya kwa wakati mmoja cz uwezo huo tunao, wewe na kichwa chako kidogodogo icho unadhani tutashindwa kununua EMUs? Yn tujenge infrastructures za kupitisha EMUs kwa mabilioni ya dollars zen tushindwe kununua EMUs ambazo hazifiki hata theluthi ya gharama za infrastructures za kupitisha EMUs? Unaakili kweli wewe?

Sisi ni taifa lenye akili zaidi ukanda huu nadhani mmeshaona akili zetu zilivyo kubwa, now tunaleta EMU za kwanza na za mwisho hapa EA cz hakuna nchi ya EA itakuwa na EMU kwa miaka 2000 ijayo. Mjiandae kuja kupanda EMU mtake msitake.
 
Kama venye wadanganyika mnaonea elevated expressway kwa TV pia. At least sisi bado sgr kuna option ya electrification
Kama hujui nikupe habari tuu kuwa expressway ya Tanzania inaanza early next year from Dar to Morogoro 200km in length
 
yaani, nimecheka yangu yote 😆😆😆😆


eti, watanganyika wanashindwa wataambia nini tena wakenya, na ilhali hapo awali waliwaambia .!?? "eti locomotive 🚂 itakua ni bullet train"..

now most Tzs are even preferring second hand japanese bullet locomotives, than this so called new 'Turkish Bullcrap'🤮

Screenshot_20221125-211325_Chrome.jpg
Screenshot_20221125-210203_Chrome.jpg
Screenshot_20221125-210302_Chrome.jpg
Screenshot_20221125-210422_Chrome.jpg
Screenshot_20221125-210532_Chrome.jpg
Screenshot_20221125-210655_Chrome.jpg
 
yaani, nimecheka yangu yote 😆😆😆😆


eti, watanganyika wanashindwa wataambia nini tena wakenya, na ilhali waliwaambia .!?? "eti locomotive 🚂 itakua ni bullet train"..

now most Tzs are even preferring second hand japanese bullet locomotives, than this so called 'New Turkish Bullcrap'🤮

View attachment 2427507View attachment 2427508View attachment 2427509View attachment 2427510View attachment 2427512View attachment 2427513
Hata wao wanajua mutusi waluyotuporomoshea halafa walichopata hakina tofauti na chetu.🤣
 
Back
Top Bottom