The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Eti hizi ndio ziwe full AC hizi, naondoka jamiiforums











Eti hizi ndio ziwe full AC hizi, naondoka jamiiforums











Kumbe sgr freight ya danganyika inapiga 80km/hr kama ya Kenya tu na sisi tunatumia diesel badoThis time round I'll feed you everything hadi mkojo. Here's the cover page of that report.
View attachment 2427297View attachment 2427298




These people like living in denial.Apo umempiga na facts kashakimbia,akirudi atakuja na agenda ingine![]()
Mavi kidogo sasa? Dunia nzima inajua hawa watu ni hopeless ila wanapenda kujitutumua ili waonekane wa maana lakini bure kabisa.Nmecheka sana baada ya kugundua kwamba vitasafirishwa kwa meli na sio kubaki hapo hapo, kenya ni mavi![]()
Amka usikojoe kitandani ukiota.Muda ni mwalimu mzuri, na zitakapokuja tutakumbusha usijali, we kimbilia kutukana na ili uonekane mmbabe leo,
And why you care kuhusu maintenance?since when you cares about our costs?
Zitakuja EMU kwa short route upende ama usipende zinakuja, pesa ni zetu sio zenu
Kama venye wadanganyika mnaonea elevated expressway kwa TV pia. At least sisi bado sgr kuna option ya electrificationKaumia huyo mkuu electric train ataisikia tuu na kuiona kwenye TV na movies.
Lakini mkipigwa na facts apa za sgr mnakataa.Apo umempiga na facts kashakimbia,akirudi atakuja na agenda ingine![]()
Kichwa cha kuvuta mnaletewa second hand refurbished mzee kama mabehewaKawaida sana yani..
Izo locos za Tanzania ni daraja la tatu, zinakuja kwa awamu, zitakapokuja daraja la pili na la kwanza tutacompare zaidi


Unaushahidi?sahivi umehamia kwenye kichwa sio? Mtanyamaza kimya, fanya utupostie expressway Maana ndio k2 pekee mnajivunia kwa sasaKichwa cha kuvuta mnaletewa second hand refurbished mzee kama mabehewa
![]()
...
Tanzania ndiyo nchi yenye uchumi mkubwa usio shaka hapa EA, tumenunua ndege mpya kwa wakati mmoja cz uwezo huo tunao, wewe na kichwa chako kidogodogo icho unadhani tutashindwa kununua EMUs? Yn tujenge infrastructures za kupitisha EMUs kwa mabilioni ya dollars zen tushindwe kununua EMUs ambazo hazifiki hata theluthi ya gharama za infrastructures za kupitisha EMUs? Unaakili kweli wewe?Amka usikojoe kitandani ukiota.
Nikumbushe emus zikiingia
Kama hujui nikupe habari tuu kuwa expressway ya Tanzania inaanza early next year from Dar to Morogoro 200km in lengthKama venye wadanganyika mnaonea elevated expressway kwa TV pia. At least sisi bado sgr kuna option ya electrification
Hata wao wanajua mutusi waluyotuporomoshea halafa walichopata hakina tofauti na chetu.🤣yaani, nimecheka yangu yote 😆😆😆😆
eti, watanganyika wanashindwa wataambia nini tena wakenya, na ilhali waliwaambia .!?? "eti locomotive 🚂 itakua ni bullet train"..
now most Tzs are even preferring second hand japanese bullet locomotives, than this so called 'New Turkish Bullcrap'🤮
View attachment 2427507View attachment 2427508View attachment 2427509View attachment 2427510View attachment 2427512View attachment 2427513
.....wakenya wakigundua hii..Hata wao wanajua mutusi waluyotuporomoshea halafa walichopata hakina tofauti na chetu.🤣