Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Somalia nao wapo mbioni kusafirisha msaada kwa jirani yao Kenya.
Shacks 6000 zinaongezwa kwenye ratio kunako kunyaland just imagine, vingekua ni vitu vya maana China wenyewe wangevichukua lakini sababu ni recycled waste hamna mwenye interest navyo na huenda Kenya ndio ilipeleka maombi ya mgao 😂😂😂
 
Tunakimbiza mwizi kimya kimya

Screenshot_20221125-152223_Opera.jpg
 
Kuchora na kutengeneza no vitu viwili tofauti. Hats Mimi naezachora ndege na hiyo haimanishi kwamba naezatengeneza ndege as well.

My understanding is Circuit ukidesign na ukishaichora umemaliza mzee, .. hapo it’s like printing out something you’ve worked out in your computer.
Watu wa ICT na Electronics can teach you these simple things..
 
1. Reli ya axle load 35T against 25T
2. Cargo speed 120kph against 80kph
3. Train length of 2km against 1km
5. Siding rail 50% against 25%

Hata chizi atakuambia reli gani itabeba mzigo mwingi na abiria wengi zaidi.
Sio lazima upinge Kila kitu. Your SGR was designed to do a maximum of 1.1M in a year. Again the 2km you talking about is the passing loop and not length of the train.

Screenshot_20221125-162806.png
 
My understanding is Circuit ukidesign na ukishaichora umemaliza mzee, .. hapo it’s like printing out something you’ve worked out in your computer.
Watu wa ICT na Electronics can teach you these simple things..
Ingekuwa hivo basi almost Kila country ingekuwa inaproduce their own chips? Ebu tuonyeshe made in Tanzania chips.
 
Sio lazima upinge Kila kitu. Your SGR was designed to do a maximum of 1.1M in a year. Again the 2km you talking about is the passing loop and not length of the train.

View attachment 2427276
Nipe cover ya hii report, Huwezi kuwa unaweka tu attachment humu bila kutaja author wa hiyo article nimeona footnotes kuna ARDHI na ERM hao ni nani kwenye report na report inahusu nini?

Key valid specifics za SGR yetu versus the rest of Africa's hizi hapa!

20221031_084119.jpg
 
View attachment 2427291
This time round I'll feed you everything hadi mkojo. Here's the cover page of that report.

Screenshot_20221125-165844.png
Screenshot_20221125-162806.png
 
So the research report targeted Dar - Makutupora line only among the rest of 1500 kilometers line Dar - Mwanza, thank you!
Ungenyamaza hatungejua wewe ni mjinga hivi. Feasibility study hufanywa in phases just like construction. Mngeamua kufanya the entire project as one phase basi final feasibility study ingekuwa moja pia. Kenya also have two feasibility study reports; Mombasa - Nairobi and Nairobi - Naivasha.
 
Mzee number of the passengers scoped to use the line are commuters for Dar to Makutupora alone, the part research findings have been obtained huwezi kutumia hizo findings to judge the whole 2000+ kilometers project! Eat that!
 
Nairobi -Mombasa is doing 3M, that's three times what your SGR is capable of doing.
 
Nairobi -Mombasa is doing 3M, that's three times what your SGR is capable of doing.
Numbers of passengers are described by the number of trains plying the line and not railway capacity! If we find there's a need to cope with passengers flux it's the matter of adding more coaches! Simple!

In case you don't know we got double deckers coaches in our proforma invoice!
 
Kawaida sana yani..

Izo locos za Tanzania ni daraja la tatu, zinakuja kwa awamu, zitakapokuja daraja la pili na la kwanza tutacompare zaidi
You must be a fool kama unaexpect train zingine isipokua zenye mmeletewa saa hizi. Ungekua unajiuliza how vaible is it for tanzania goverment to bring in different types of train to the same incomplete railway line? Maintainance na operation ya train sio kama private car kama venye mnavyodhania na low IQ zenu.
 
Back
Top Bottom