Kuna Train Type aina Mbili
1.EMUs ambayo zinakuja kwa set zitakuwa 10 sets to start with ,like how i wrote in previous posts EMUs will be from Hyundai Rotem na dili linajulika, hizi ndo i think design itakuwa kama renders na watu watavifurahia zaidi(Hence the term KISASA)
2 Electric Locomotive Engines hizi zitakua zinavuta mabehewa , zitakuwa 17 nazo from Hyundai Rotem,
3.SGR wagons hizi zimekuwa ordered from varuous companies mfano hizo passengers wagons ambazo kila mtu hajavutiwa, nazo zimetoka SSRT company ya Korea nayo ambayo walipewa tender ya kutengeza 60 like those but Interiors ni tofauti(Classes), pia kuna Wagons za mizigo 1430 from China ,
Hizo wagons zitavutwa na Electric Locomotives Engines ambayo hata moja bado hatujaiona (I hope Rangi zitakuwa nzuri).
4.I hope pia the next orders of SGR psssenger wagons will be good than hizi za SSRT