Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtu anaokota clip with incomplete views za Kilimani then the idiot tries to argue with it, Kilimani is dope!..., Tanzanians wengi wako na wivu sana!.., inawauma sana Kilimani being mentioned as the coolest, na inaonekana wazi wazi.., 🔥🔥🔥💪💪
No suburb in Dar is a slum can rival Kilimani, Kileleshwa, Riverside or Hurlingham. Apartments za Dar level zao ni kama za Pangani, Ngara, Eastleigh na South C.
 
Zero brain kabisaaa😂😂😂😂😂😂.., haujui unalo zungumzia wewe, umeng'ang'ania aesthetics(muonekano)sasa hiyo ndio definition ya"world class" yaani siku ile utabalehe Kisha upitie post zako, na kuelewa context ya topics utaona ulivyo kua boya, utajidharau sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂 am sure kwa hizi fikra zako utaona China kama ni first world kwa sababu ya their magnificent and ultra modern looking cities with bullet trains zenye Europe haina, uko down kilaza😂😂🤣🤣🤣
 
Ukiskia world standards ndio hukaa hivi sasa 👇.. mwanangu wa utotoni huyu yupo Capetown 👇View attachment 2396597View attachment 2396598View attachment 2396599View attachment 2396600View attachment 2396602ukiskia world standard hii ndio maana yake .. Don YF. Capetown moja hiyo.. unameza meza tu takataka wanapost walevi wenzako kisha unaleta humu 🤣🤣🤣🤣
Moaja kati ya mavitu ya hovyo Nyerere kayafanya ni huu upumbavu wa Liberation of Southern Africa. Tungesaidi kiaina tu na sio kujitoa mazima at the expenses of our economy and our wellbeing.

Tungekuwa na uchumi mkubwa sana leo kama sio ujinga ule wa Nyerere. Sad, tukiwa kwenye uhitaji kama wao, haito kaa itokee wafanye tuliowafanyia, NEVER.
 
Upumbavu mtupu, unanionesha jengo moja alafu useme ni Developed, unaelewa maana ya developed City wewe? Nitajie developed City yoyote duniani ambayo inakosa japo kimoja ya hivi

Electrified railway
BRT
Trams au
cable stayed bridges..... Ukinitajia hiyo city naondoka jamiiforums
Huyu hustler akirudi ni tag plz.
 
Kilimani haiwezi toboa hata mbele ya Upanga View attachment 2396631.. umeona Don YF
We uliskia wapi. Toka kwa hio kijiji tembea Jiji kuu Kilimani
438481253.jpg
 
Zero brain kabisaaa😂😂😂😂😂😂.., haujui unalo zungumzia wewe, umeng'ang'ania aesthetics(muonekano)sasa hiyo ndio definition ya"world class" yaani siku ile utabalehe Kisha upitie post zako, na kuelewa context ya topics utaona ulivyo kua boya, utajidharau sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂 am sure kwa hizi fikra zako utaona China kama ni first world kwa sababu ya their magnificent and ultra modern looking cities with bullet trains zenye Europe haina, uko down kilaza😂😂🤣🤣🤣
Endelea kupiga sarakasi mtu mzima Mpumbavu wewe,🤣🤣🤣 unaweza kueleza in what angle Kilimani is cooler than century city...?🤣🤣🤣
 
No suburb in Dar is a slum can rival Kilimani, Kileleshwa, Riverside or Hurlingham. Apartments za Dar level zao ni kama za Pangani, Ngara, Eastleigh na South C.
Hebu weka picha basi tuone, mana wewe picha zako huwa ni za ukweli hazina make up, unapiga mwenyewe na ni mkenya pekee unayepiga picha kwa mkono wako
tapatalk_1070971582_408x306.jpg
tapatalk_1184600122_408x306.jpg
 
Zero brain kabisaaa.., haujui unalo zungumzia wewe, umeng'ang'ania aesthetics(muonekano)sasa hiyo ndio definition ya"world class" yaani siku ile utabalehe Kisha upitie post zako, na kuelewa context ya topics utaona ulivyo kua boya, utajidharau sana am sure kwa hizi fikra zako utaona China kama ni first world kwa sababu ya their magnificent and ultra modern looking cities with bullet trains zenye Europe haina, uko down kilaza
Hapa kameongea kuhusu bullet train alafu kanasema eti Europe hakuna ili tusiwapige misumari kisa kuna nchi Europe hakuna, mwehu kweli wewe, nimewaambia sio lazima nchi iwe na bullet train ila ni lazima kwa world class city kuwa na electrifitried railway, BRT system au cable stayed bridges kama Dar, kimojawapo lazima kiwepo kama unabisha nitajie World class city ambayo haina kimojawapo hapo
 
Huyu hustler akirudi ni tag plz.
Kafanya kama hajaona, huwa nawatesa sn na hizo facts, hawapendi sema ndiyo uwezo wa kuwa navyo hawana wanabaki kukausha kama hawajaona, na mm nakaa kdg napiga tena panapouma, sipoi mana wangekuwa navyo wao wangetusumbua sn na midomo yao mipana
 
Kuanzia nimekua na Tamaduni za kujifunza kuhusu nini kinaendelea duniani kwenye masuala ya infrastructure hasa China, na ku explore kupitia YouTube baadhi ya miji mikubwa duniani inafananaje, nimejifunza kwanza Africa tuna safari ndefu mnoo .. tusianze kujikweza ndugu zetu wa North jamani,
Umechelewa kusanuka kk
 
Umechelewa kusanuka kk
Nilichelewa sana kaka, kwasasa najaribu kukimbizana na muda nijifunze mambo mengi zaidi,.. duniani kumeendelea vibaya mno .. we are no where close to them, na wala hatuwezi fika maendeleo yao hata kwa miaka 50 ijayo, since tunategemea investments zao uku kwetu
 
Back
Top Bottom