Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Can you show us we what KDF has interms of surface to air missiles?
American MLRS M142 Himars, masera wangu. Hizi ndo inampa putin sleepless nights kila kukicha🥵🥵.. yaani 100% precision accuracy!

Made In USA.. a Nato Armoured Vehicle..
Ukraine War Model, Himars Self Propelled Armoured Vehicle 👇🏽
Screenshot_20220601-172321_YouTube.jpg
Screenshot_20220601-171646_YouTube.jpg
Screenshot_20220601-171617_YouTube.jpg


American MLRS M142 Himars Armoured Vehicle in action in the current ukraine-russian wars, mchizi wangu👇🏽




a Nato Model, German Tanks hapa👇🏽
Screenshot_20220601-171330_YouTube.jpg
Screenshot_20220601-171319_YouTube.jpg
Screenshot_20220601-171257_YouTube.jpg
Screenshot_20220601-171218_YouTube.jpg
Screenshot_20220601-171208_YouTube.jpg
Screenshot_20220601-171151_YouTube.jpg
 

Akijenga hii barabara mama atakuwa kaupiga mwingi.
Zile njia nane ajitahidi zifike chalinze.
Njia nne zingine moro Dom, ingawa kwa mimi naona moro dom wangeiacha kwa sababu ya ujio wa sgr eneo hili, labda wangeanzia chalinze kuelekea Kaskazini.
Kingine ni kudeal na barabara zenye msongamano kwenye majiji.
 
Huku Tabora kuna matatizo, yaani wenyeji wa hapa wachache wenye maendeleo Wana uswahili mwingi. Wana Tabia ya kukwamishana Sana,hivyo sio ajabu kufanya Mambo kama haya.
Na wasipopelekewa maendeleo wanalalamika kuwa wanaonewa.
 
Picha zote ni tukio la leo.. mmeona utafaut gan? 😀
Mwenyeji katoka kwake, kavaa vizur, kapendeza, akafunga safar kwenda kumpokea mgeni airport, alivyofika kwake tena akabadilisha nguo na kuvaa nguo nyingine nzuri ya kupendeza

 
Back
Top Bottom