Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahah, halafu hiyo ndio their main highway yaani .
Hiyo sasa ina afadhali, uje sasa kale kabarabara kanatoka lungalunga, ukunda hadi Mombasa, aisee hata kupishana ni kipengele, halafu unaambiwa ndio highway kuu ya county nzima ya kwale
Ajabu ukivuka tu upande wa horohoro unakutana na Mkeka wa maana hadi Tanga,

Wakati mimi December huwa nakamua chombo Dar to Mbeya Over 850km na mkeka uko hivi
IMG_9192.jpg

IMG_9191.jpg

IMG_9190.jpg

IMG_9193.jpg
 
Hahahah, halafu hiyo ndio their main highway yaani .
Hiyo sasa ina afadhali, uje sasa kale kabarabara kanatoka lungalunga, ukunda hadi Mombasa, aisee hata kupishana ni kipengele, halafu unaambiwa ndio highway kuu ya county nzima ya kwale
Ajabu ukivuka tu upande wa horohoro unakutana na Mkeka wa maana hadi Tanga,

Wakati mimi December huwa nakamua chombo Dar to Mbeya Over 850km na mkeka uko hiviView attachment 2368553
View attachment 2368554
View attachment 2368555
View attachment 2368556
Hakuna nchi ukanda huu inaikaribia Tz kwa km of tarmacked roads, na co tu ukanda huu bali ni nchi chache sana hapa Africa zinaizidi Tz kwa km of paved roads hazizidi 3.
 
Mnaogopa kama wajinga fulani hv, amekupa jibu la kipumbavu unaogopa kumchana, oneni cc tunavyochanana humu, Wakenya ni wanafki sn wallahi
I can't stoop low to your level kilaza, unataka tufanane eti? la hasha, haitowezekana 😝 😝 😂 😂, uko huru, cheza kama wewe ulivyo, elewa jua lina angazia wabaya na wazuri, na pia mvua inanyeshea shamba la wachawi/warogi/vilaza kama wewe😝😝😂😂 na pia kunyeshia shamba ya wale walio wangwana na wenye roho safi, bila ubaguzi, kwa hili mimi nitasimama upande wa jua au mvua, nawaangazia ama nawanyeshea with facts, bila huruma, hadi raha😂😂😂😂😂😂😂😂
 
I can't stoop low to your level kilaza, unataka tufanane eti? la hasha, haitowezekana , uko huru, cheza kama wewe ulivyo, elewa jua lina angazia wabaya na wazuri, na pia mvua inanyeshea shamba la wachawi/warogi/vilaza kama wewe na pia kunyeshia shamba ya wale walio wangwana na wenye roho safi, bila ubaguzi, kwa hili mimi nitasimama upande wa jua au mvua, nawaangazia ama nawanyeshea with facts, bila huruma, hadi raha
Unamuogopa au?, huyo mnuka mavi kakujibu kidharau sn akijua huna kitu utamfanya na kweli umefyata
 
Unamuogopa au?, huyo mnuka mavi kakujibu kidharau sn akijua huna kitu utamfanya na kweli umefyata
That's not what or how I see it kilaza, I read beyond words, yaani unalazimisha I feel your pain, yaani imekuuma, kwangu haiwezekani., ng'o! 😝😝😝😂😂😂😂😂
 
I can't stoop low to your level kilaza, unataka tufanane eti? la hasha, haitowezekana 😝 😝 😂 😂, uko huru, cheza kama wewe ulivyo, elewa jua lina angazia wabaya na wazuri, na pia mvua inanyeshea shamba la wachawi/warogi/vilaza kama wewe😝😝😂😂 na pia kunyeshia shamba ya wale walio wangwana na wenye roho safi, bila ubaguzi, kwa hili mimi nitasimama upande wa jua au mvua, nawaangazia ama nawanyeshea with facts, bila huruma, hadi raha😂😂😂😂😂😂😂😂
Jamaa Ako na akili oza za watchmen.😂😂
 
Back
Top Bottom