Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiboko ya kdf (chocolate looters)

Imagine these are within Kenya's boarder and can be accessible even with the media freely and easily 🤣🤣🤣🤣



 
Failed and shithole state, Kenya na Nigeria tofauti ni location tu, raia wamewashinda kuwadhibiti alshabab ndio watawaweza? Utasikia wana budget kubwa ya defense wakati home affairs zinawatoa roho

View attachment 2368494

Aisee. Majambazi yameua askari wote hawa? Wamepigwa ambush nini [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
 
Kiboko ya kdf (chocolate looters)

Imagine these are within Kenya's boarder and can be accessible even with the media freely and easily [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]



Wanajionyesha kabisa sura zao na wanajua hawatafanywa chochote, Kenya mko hovyo kwenye suala la security [emoji35][emoji35][emoji35]
 
Hawa ndio wanaongoza kwa matumizi ya cement, haipiti week linashukq

Akili hawana na authorities zao zipo weak mno, Tanzania ukijenga 2 story building hizo agencies za serikali zitakazokuja hapo kufanya due diligence utazikimbia

View attachment 2368452View attachment 2368453View attachment 2368454View attachment 2368455

Hivi sio sawa . Wanaopata madhara ni raia wa kawaida huku viongozi waki enjoy life . Poleni wakunya lakini mbona hizi ajali za majengo kuanguka na ndege kuanguka zilipumzika wakati wa kampeni na uchaguzi?
 
Wanajionyesha kabisa sura zao na wanajua hawatafanywa chochote, Kenya mko hovyo kwenye suala la security [emoji35][emoji35][emoji35]
The forest they hide in is so wide its vety hard to flush thwm out
 
Sections of Eldoret Town...., 5th largest in Kenya
1664181926067.png

1664181947130.png

1664181987920.png

1664182104318.png

1664182073734.png

1664182016053.png

1664182051413.png

1664182144947.png
 
Hii ni 2 lanes au half lane road [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

View attachment 2368421View attachment 2368422

Hahahah, halafu hiyo ndio their main highway yaani [emoji3][emoji3][emoji3].
Hiyo sasa ina afadhali, uje sasa kale kabarabara kanatoka lungalunga, ukunda hadi Mombasa, aisee hata kupishana ni kipengele, halafu unaambiwa ndio highway kuu ya county nzima ya kwale [emoji3][emoji3][emoji3]
Ajabu ukivuka tu upande wa horohoro unakutana na Mkeka wa maana hadi Tanga,

Wakati mimi December huwa nakamua chombo Dar to Mbeya Over 850km na mkeka uko hivi
IMG_9192.jpg

IMG_9191.jpg

IMG_9190.jpg

IMG_9193.jpg
 
Back
Top Bottom