jiwe jeusi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 863
- 850
This is Tanzania [emoji122]Another milestone we left kunyans from technology and transportation sector
You won't board without electronic receipt
View attachment 2368316View attachment 2368317
This is Tanzania [emoji122]Another milestone we left kunyans from technology and transportation sector
You won't board without electronic receipt
View attachment 2368316View attachment 2368317
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]Kenya wana maghorofa ya udongo, 80% ya standards za ujenzi kenya ni poor sana...
Kama mkenya anabisha anitag
🤣🤣 Noma kweli jamaa mpaka mnatumia matangazo Ili watu waendeshe chuma zao kupitia express way 🤣🤣 so poa
Kunyaland ni failed state zaidi ya 35% ya nchi haitawaliki, anarchyHawa jamaa kazi wanayo huu ndo uhuru wanaoufurahia sasa
Ni wachunga ng'ombe tu hao wa porini huko Northern.Aisee. Majambazi yameua askari wote hawa? Wamepigwa ambush nini [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Shida iko wapi[emoji1787][emoji1787] Noma kweli jamaa mpaka mnatumia matangazo Ili watu waendeshe chuma zao kupitia express way [emoji1787][emoji1787] so poa
Inasikitisha sana askari wameuawa kama wahalifu.Ni wachunga ng'ombe tu hao wa porini huko Northern.
Hasara ya kugeuza majeshi kama sehemu ya kupata ajira za chee ndio hio. Wanafyekwa tu. Thou picha hizo Sio poa kuwa anika hivyo hao jamaa.
Lies lies, we all know here how Jkia is[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi kwenye hili taifa hakuna hata chuo cha mafundi mchundo? Wakunya kwenye mambo ya ujenzi na mahesabu mpo hovyo sana, weak on each point that consumes brains
Siku ikitokea tetemeko kenya, itabaki miundombinu iliyojengwa na foreigners tu kama wachina nk.
The biggest forest in east Africa is MAU FOREST.Mna forests kunyaland?
The river that feeds lake natron tooo river Ewaso Ngiro and siyiabei(narok)The biggest forest in east Africa is MAU FOREST.
THE source of lake Victoria waters,
River mara,nyangores,amalo,kuja,nyando,sondu, etc minus nzoia,yala etc
Mi nauhakika kajeshi ka kenya hawawez kubattle na bwana mdogo kagame..bure kabsaKunyaland ni failed state zaidi ya 35% ya nchi haitawaliki, anarchy
Haha japo siku ilikuwa ngumu leo ila umenifurahisha mkuu 😂Siku ikitokea tetemeko kenya, itabaki miundombinu iliyojengwa na foreigners tu kama wachina nk.
Kaka ni hatari, hapa ndio naelewa kwa nini mchina alikuwa anawapiga viboko wakati wa ujenzi wa sgr, wangemharibia CV.Haha japo siku ilikuwa ngumu leo ila umenifurahisha mkuu 😂
Hata Kenya pia Iko tu hivo.Haiishii hapo akishaprint iyo risiti msg inaingia kwenye simu yako pia