Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sections of Eldoret Town...., 5th largest in Kenya
1664182426529.png

1664182389345.png

1664182404878.png

1664182477138.png

1664182497716.png

1664182509172.png

1664182518434.png

1664182438855.png

1664182447536.png
 
Hahahah, halafu hiyo ndio their main highway yaani [emoji3][emoji3][emoji3].
Hiyo sasa ina afadhali, uje sasa kale kabarabara kanatoka lungalunga, ukunda hadi Mombasa, aisee hata kupishana ni kipengele, halafu unaambiwa ndio highway kuu ya county nzima ya kwale [emoji3][emoji3][emoji3]
Ajabu ukivuka tu upande wa horohoro unakutana na Mkeka wa maana hadi Tanga,

Wakati mimi December huwa nakamua chombo Dar to Mbeya Over 850km na mkeka uko hiviView attachment 2368553
View attachment 2368554
View attachment 2368555
View attachment 2368556
Hakuna nchi ukanda huu inaikaribia Tz kwa km of tarmacked roads, na co tu ukanda huu bali ni nchi chache sana hapa Africa zinaizidi Tz kwa km of paved roads hazizidi 3.
 
Mnaogopa kama wajinga fulani hv, amekupa jibu la kipumbavu unaogopa kumchana, oneni cc tunavyochanana humu, Wakenya ni wanafki sn wallahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I can't stoop low to your level kilaza, unataka tufanane eti? la hasha, haitowezekana 😝 😝 😂 😂, uko huru, cheza kama wewe ulivyo, elewa jua lina angazia wabaya na wazuri, na pia mvua inanyeshea shamba la wachawi/warogi/vilaza kama wewe😝😝😂😂 na pia kunyeshia shamba ya wale walio wangwana na wenye roho safi, bila ubaguzi, kwa hili mimi nitasimama upande wa jua au mvua, nawaangazia ama nawanyeshea with facts, bila huruma, hadi raha😂😂😂😂😂😂😂😂
 
I can't stoop low to your level kilaza, unataka tufanane eti? la hasha, haitowezekana [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23], uko huru, cheza kama wewe ulivyo, elewa jua lina angazia wabaya na wazuri, na pia mvua inanyeshea shamba la wachawi/warogi/vilaza kama wewe[emoji13][emoji13][emoji23][emoji23] na pia kunyeshia shamba ya wale walio wangwana na wenye roho safi, bila ubaguzi, kwa hili mimi nitasimama upande wa jua au mvua, nawaangazia ama nawanyeshea with facts, bila huruma, hadi raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamuogopa au?, huyo mnuka mavi kakujibu kidharau sn akijua huna kitu utamfanya na kweli umefyata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The forest they hide in is so wide its vety hard to flush thwm out
Ni sawa ila inabidi mfanye operations endelevu wekeni kambi za muda mrefu na vituo vya kijeshi vyenye intelijensia kali mtawamaliza wote.
 
Unamuogopa au?, huyo mnuka mavi kakujibu kidharau sn akijua huna kitu utamfanya na kweli umefyata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
That's not what or how I see it kilaza, I read beyond words, yaani unalazimisha I feel your pain, yaani imekuuma, kwangu haiwezekani., ng'o! 😝😝😝😂😂😂😂😂
 
I can't stoop low to your level kilaza, unataka tufanane eti? la hasha, haitowezekana 😝 😝 😂 😂, uko huru, cheza kama wewe ulivyo, elewa jua lina angazia wabaya na wazuri, na pia mvua inanyeshea shamba la wachawi/warogi/vilaza kama wewe😝😝😂😂 na pia kunyeshia shamba ya wale walio wangwana na wenye roho safi, bila ubaguzi, kwa hili mimi nitasimama upande wa jua au mvua, nawaangazia ama nawanyeshea with facts, bila huruma, hadi raha😂😂😂😂😂😂😂😂
Jamaa Ako na akili oza za watchmen.😂😂
 
Unamuogopa au?, huyo mnuka mavi kakujibu kidharau sn akijua huna kitu utamfanya na kweli umefyata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona unaumwa sana soja?. Mara ngapi umetukanwa hapa na hakuna kitu huwa unafanya?
 
That's not what or how I see it kilaza, I read beyond words, yaani unalazimisha I feel your pain, yaani imekuuma, kwangu haiwezekani., ng'o! [emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikutegemea kama utamuogopa mnuka mavi, kumbe we muoga sana eehh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahah, halafu hiyo ndio their main highway yaani [emoji3][emoji3][emoji3].
Hiyo sasa ina afadhali, uje sasa kale kabarabara kanatoka lungalunga, ukunda hadi Mombasa, aisee hata kupishana ni kipengele, halafu unaambiwa ndio highway kuu ya county nzima ya kwale [emoji3][emoji3][emoji3]
Ajabu ukivuka tu upande wa horohoro unakutana na Mkeka wa maana hadi Tanga,

Wakati mimi December huwa nakamua chombo Dar to Mbeya Over 850km na mkeka uko hiviView attachment 2368553
View attachment 2368554
View attachment 2368555
View attachment 2368556
Nishapita hapo hayo sio maeneo ya makambako kuifatuta mbeya
 
Hahahah, halafu hiyo ndio their main highway yaani [emoji3][emoji3][emoji3].
Hiyo sasa ina afadhali, uje sasa kale kabarabara kanatoka lungalunga, ukunda hadi Mombasa, aisee hata kupishana ni kipengele, halafu unaambiwa ndio highway kuu ya county nzima ya kwale [emoji3][emoji3][emoji3]
Ajabu ukivuka tu upande wa horohoro unakutana na Mkeka wa maana hadi Tanga,

Wakati mimi December huwa nakamua chombo Dar to Mbeya Over 850km na mkeka uko hiviView attachment 2368553
View attachment 2368554
View attachment 2368555
View attachment 2368556
Tanzania kwenye barabara hatuna mshindani ukanda huu, barabara nzuri sana hii mkuu
 
Back
Top Bottom