Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endelea kulia. Nyinyi watanzania mtabaki kudhani you are well off kumbe nyinyi ndio backwards kuliko wote in this world.

Lagos BRT.

View attachment 2368084View attachment 2368085View attachment 2368087View attachment 2368088
1664028094670.jpg

Sasa na nyie mjitahidi basi muondokane na huu upupu
 
The biggest forest in east Africa is MAU FOREST.
THE source of lake Victoria waters,
River mara,nyangores,amalo,kuja,nyando,sondu, etc minus nzoia,yala etc
Hahahaha acha matani nanii, mtoe wapi forest ninyi? Kwanza Kenya woodland ni 5% tu wakati Tanzania ni zaidi ya 60% sasa mnakuaje na biggest forest wakati hata Rwanda wamewazidi? Halafu mnakuaje na source ya ziwa ambalo mnalo kwa only 12% wakati 53% ya Victoria lipo Tanzania?
 
Mi nauhakika kajeshi ka kenya hawawez kubattle na bwana mdogo kagame..bure kabsa
Yaani toka uhuru ameingia madarakani mpaka ametoka hajawahi kukanyaga pokot na counties nyingine za pembeni sababu ya Usalama mdogo, imagine rais wa nchi hawezi kufika kwenye 35% ya nchi yake sababu eneo hilo haliiheshimu serikali halafu wanakuja kujilinganisha na Tanzania
 
Sometimes lying need reasoning. Huyu hapa in Pokot ni Magufuli ?

1664197822788.png
 
Yaani toka uhuru ameingia madarakani mpaka ametoka hajawahi kukanyaga pokot na counties nyingine za pembeni sababu ya Usalama mdogo, imagine rais wa nchi hawezi kufika kwenye 35% ya nchi yake sababu eneo hilo haliiheshimu serikali halafu wanakuja kujilinganisha na Tanzania
More pictures of Magufuli in Pokot.

1664198025547.png
 
Back
Top Bottom