Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa nenda kwanza uka update google inayosema hivi View attachment 1983608View attachment 1983609
ata kipofu anaweza tofautisha jiji gani li zaidi ya nyingine
Screenshot_2021-10-23-01-24-03-68_4937eb900e197f95da98f502ddfb10e1.jpg
 
Nilimkanya Geza jana nikamuambia awache malumbano lakini hakunisikia. Sasa yeye ambaye huwa anapost habari nyingi mpya huku kila siku amekula ban. Huyu lwiva akila ban hakuna shida maana mchango wake huku ni mdogo ila Geza kula ban ni pigo kubwa kwa uzi huu. Yeye ndiye alikuwa anapost habari nyingi mpya humu kila siku.
 
Tony254 njoo utufafanulie kuhusu uchumi wenu maana wengi hatuelewi, inakuwaje mna GPD ya $100 wakati mnashindwa hata kugharimia mradi wa $200m, wenyewe? Wakati sisi tunafanya miradi ya zaidi ya $2b kwa pesa zetu.

Nadhani kama tulivyosema siku ile .kinachopatikana hakibaki mikononi mwao. (IMO)

Mfano Chukulia huduma zitakazotolewa na Developer wa CGTN towers, Serikali yao itapata labda kodi ya Jengo, PAYE za wafanyakazi na labda Utilities( Dawasco na Tanesco yao) watapiga hela Kidogo

Mkwanja mwingine wote unaenda kwa Mwenyewe.
Je hata kama kuna 10 billion imetengezwa unafikiri kiasi gani wana access nacho na kukutumia kwa mambo yao.
Fikiria makampuni mengine kibao ambayo yana sifa hizo ( Multinational) sijui Regional HQs Wanaacha hela kidogo nchini kwa huduma mbalimbali.

Halafu linganisha na Bongo katika eneo hilo hilo, Revenue kutoka TPA Tower ni ya Serikali yote hata utility companies ni za Serikali na tunalipia kwa Control number hela zote zinaenda dumbukia eneo moja ( HAZINA) na zinatumika kushughulikia mambo ya nchi Moja kwa moja.

JIONEE TOFAUTI
 
Hii picha ni nzuri sana. Hapa hawawezi kupinga. Nairobi imewaka zaidi kushinda Dar. Napenda evidence kama hizi ambazo hazipingiki. Hii picha nimeidownload na kuisave. Hii itatumika kwenye battle siku moja.
Tony bhn, kwahiyo wewe ndo umeiona leo hiyo picha, hii picha ishawekwa sn humu ndani na tukakubaliana Tz inawaka zaidi kuliko Kenya ambayo panawaka tu Nairobi.
 
Nadhani kama tulivyosema siku ile .kinachopatikana hakibaki mikononi mwao. (IMO)

Mfano Chukulia huduma zitakazotolewa na Developer wa CGTN towers, Serikali yao itapata labda kodi ya Jengo, PAYE za wafanyakazi na labda Utilities( Dawasco na Tanesco yao) watapiga hela Kidogo

Mkwanja mwingine wote unaenda kwa Mwenyewe.
Je hata kama kuna 10 billion imetengezwa unafikiri kiasi gani wana access nacho na kukutumia kwa mambo yao.
Fikiria makampuni mengine kibao ambayo yana sifa hizo ( Multinational) sijui Regional HQs Wanaacha hela kidogo nchini kwa huduma mbalimbali.

Halafu linganisha na Bongo katika eneo hilo hilo, Revenue kutoka TPA Tower ni ya Serikali yote hata utility companies ni za Serikali na tunalipia kwa Control number hela zote zinaenda dumbukia eneo moja ( HAZINA) na zinatumika kushughulikia mambo ya nchi Moja kwa moja.

JIONEE TOFAUTI
Mtu ambaye hajui Tanzania na Kenya vizuri akisoma ulichoandika anawezafikiri kuwa Tanzania (TRA) huwa inakunyasanya kodi nyingi kushinda Kenya (KRA). Kama unachosema ni kweli basi TZ mngekuwa mnakusanya kodi mara dufu ya Kenya.
 
Tony bhn, kwahiyo wewe ndo umeiona leo hiyo picha, hii picha ishawekwa sn humu ndani na tukakubaliana Tz inawaka zaidi kuliko Kenya ambayo panawaka tu Nairobi.
Ni vizuri umekubali kwamba Nairobi inawaka zaidi kushinda Dar. Hapa tupo kwenye uzi wa Nairobi vs Dar es Salaam. So usilete hapa mambo ya kulinganisha mwanza na sijui Arusha huko. La! Tunataka kujua kati ya Nai na Dar mji upi ndio mbabe kwenye mambo yote. Ni wazi kwenye hili la utumiaji wa umeme Nai inatumia umeme mwingi kushinda Dar ambako bado mpo gizani licha ya kwamba mna watu wengi kushinda Nai.
 
Mtu ambaye hajui Tanzania na Kenya vizuri akisoma ulichoandika anawezafikiri kuwa Tanzania (TRA) huwa inakunyasanya kodi nyingi kushinda Kenya (KRA). Kama unachosema ni kweli basi TZ mngekuwa mnakusanya kodi mara dufu ya Kenya.
Muhimu ni kukusanya Kodi nyingi au muhimu ni matumizi Bora ya makusanyo na "impact" zinazotokana na matumizi ya Kodi iliyokusanywa?.

Miradi inayofanywa na GoT kutokana na makusanyo ya Kodi ni zaidi ya mara kumi ya Ile inayofanywa na GoK kutokana na Kodi wanazokusanya.
1)Bwawa la Nyerere $2.9B
2)SGR $4B
3)Ununuzi wa midege ya kisasa $800M
4)Daraja la Kigongo Busisi $300M
5)Kimara - Kibaha highway $200M

Total $8.2B
 
ila hata sisi viongozi wetu hawajiongezi, azam kaondoka juzi na ndege ya abiria ya Ethiopia ..
kwanin wasingekodi ndege ya ATCL pamoja na Biashara United wakaenda wote huko Libya na Egypt..
Libya na Egypt ni nchi majiran
View attachment 1983637

hopefully, biashara watavuka, cause tayar wana advantage ya magoli mawili home..
Unataka ndege inayobeba abiria 150 iwache kubeba hao ije ibebe wachezaji 22 na makocha wao watatu? Halafu iende Libya mahali ambapo huwa haiendi. Halafu ATCL ikianza kutengeneza losses nyinyi ndio mtakuwa wa kwanza kuikashifu.
 
Ni vizuri umekubali kwamba Nairobi inawaka zaidi kushinda Dar. Hapa tupo kwenye uzi wa Nairobi vs Dar es Salaam. So usilete hapa mambo ya kulinganisha mwanza na sijui Arusha huko. La! Tunataka kujua kati ya Nai na Dar mji upi ndio mbabe kwenye mambo yote. Ni wazi kwenye hili la utumiaji wa umeme Nai inatumia umeme mwingi kushinda Dar ambako bado mpo gizani licha ya kwamba mna watu wengi kushinda Nai.
Wapi nimesema Nairobi inawaka zaidi ya Dar? Wewe hiyo picha huioni au unajifanya kipofu.
 
Back
Top Bottom