Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Ukabila, njaa, unemployment Kama ilivyo Kenya
Uchumii mkubwa wa makaratasi tuu hawa jamaa
Ukabila, njaa, unemployment Kama ilivyo Kenya
Na hao jamaa usiombe ukutane nao nje ya africa,wanalinga hatari wakishatusua europe
mbona basi all major cities in kenya,... waRwanda, ugandans, ethiopians, eritreans, congelese, south sudans, chinese, pakistanis wamerundika huko kishenzi. (shida ya kukua na uchumi zaidi ya $106B gdp..) nenda kwanza kondele kisumu ujionee. ingekua bongo wangekua wamefurushwa kitambo, ila sisi sio xenophobic kama nyieUkabila, njaa, unemployment Kama ilivyo Kenya
Ukifika Adis Ababa utakuta wageni toka nchi mbalimbali za kiafrika.mbona basi eldoret, kisumu, nakuru,... waRwanda, ugandans, ethiopians eritreans, congelese, south sudans wamerundika huko kishenzi. nenda kwanza kondele kisumu ujionee. ingekua bongo wangekua wamefurushwa kitambo, ila sisi sio xenophobic



Lini mumewahi kuwakamata Wakenya hapo kwenu wanaokwenda Afrika Kusini?Ukabila, njaa, unemployment Kama ilivyo Kenya
Wakenya wametapakaa nchi zote za Africa Kama ilivyo wahabeshi wa Ethiopia, tatizo ni ukabila, unemployment, njaa, insecurity na kukata tamaaLini mumewahi kuwakamata Wakenya hapo kwenu wanaokwenda Afrika Kusini?
Hvi wadau wa ithiopia wana shida gani kila siku wao tuu, uchumii wao wamakaratasi nn mbona kutwa wanakimbia nchi yao
Wakenya huwa hawafanyi safari ndefu ya kwenda Afrika Kusini kwa miguu.Wakenya wametapakaa nchi zote za Africa Kama ilivyo wahabeshi wa Ethiopia, tatizo ni ukabila, unemployment, njaa, insecurity na kukata tamaa
Different solutions but the problem is the sameWakenya huwa hawafanyi safari ndefu ya kwenda Afrika Kusini kwa miguu.
Hvi wadau wa ithiopia wana shida gani kila siku wao tuu, uchumii wao wamakaratasi nn mbona kutwa wanakimbia nchi yao
yah n kawaida ila kwa tz waethiipia elitrea somalia and sontyms wadjbuti haipiti mwezi hawahajakamatwa hii ishu ni miaka na miaka ndo maana tnashangaa kunani kwa izo nchi?and mark you this happened this month View attachment 1984331
Sioni kama kuna taifa linaweza fika standard za China ..umewahi kujua kuhusu huu mji.?.
Hawa jamaa nafanya nao kazi Wana kiburi Sana,hata madem wao Wana zarau hatari! Aalafu wanabaguana wao kwa wao sijui tigre,oromo🙄mkute sasa Yule anajua English ndo utakoma🙄Na hao jamaa usiombe ukutane nao nje ya africa,wanalinga hatari wakishatusua europe
Huwa wanajiona Waisrael, ndo walimu wao wanavyowafundisha darasaniHawa jamaa nafanya nao kazi Wana kiburi Sana,hata madem wao Wana zarau hatari! Aalafu wanabaguana wao kwa wao sijui tigre,oromomkute sasa Yule anajua English ndo utakoma
![]()




