The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 37,873
- 82,536
Hakuna kiongozi aliongoza kutukanwa wazi wazi kama JPM cz alileta mabadiliko ya kweli hapa Tz yaliyowaumiza mafisadi na vibaraka wao, so JPM kutukaniwa mama ilikuwa ni kitu cha kawaida sn labda utake kukataa sahizi.leta evidence hao waliouwawa walimtukania Jiwe mama yake!
Btw nakuomba uwache huu ujinga mara moja, baki kwenye uchambuzi.