Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukitoka hapo unakutana na Baiskel Zinasubiria Abiria
"Kisumu dalla"
bikeboda.jpg




Vehicles+002.JPG





 
5H TCL (Tanzanite).. Itawezesha hilu

my predicition we will start with daily NBO and 3x weekly to Ndola and LubumbashiView attachment 1950378View attachment 1950379
waanzishe pia routes za Zanzibar-Nairobi, Zanzibar-Mombasa, Dar-Mombasa, Mwanza-Nairobi, Mwanza-Mombasa, Kilimanjaro-Mombasa!

BTW sijui kwanini fast ferries za Dar-Zanzibar hazifiki Mombasa?
 




MY TAKE
Prof. Mbarawa yupo faster sana naomba asisahau kutembelea KIA na kufufua ule mradi wa Wachina wa kujenga chuo cha aeronatics uliolaliwa na Waziri aliopita huku tukitumia gharama nyingi ku-train ma-pilot na aircraft engineers nje! Ardhi ipo facilities zipo largest hangar in the whole of East Africa ila hila zilidororsha mpango ule. Na mchina atabadili maamuzi!


NIT to receive two Air Crafts for aviation Training​

NIT-to-receive-two-Air-Crafts-for-aviation-Training.jpg

The Cessna Skyhawk 172 will boost training at NIT

The National Institute of Transport (NIT) is expecting to receive two single-engine aircrafts, Cessna Skyhawk 172 as part of the support from World Bank’s East Africa for Transformation and Regional Integration Project (EASTRIP) which aims at sustaining Centre of Excellence in Aviation and Transport Operations at the Institute.

Speaking in an interview, NIT’s Centre of Excellence in Aviation and Transport Operation Head, Abubakar Noor said that in fulfilling the basic requirements of the aviation training programmes, the two aircraft made by US’s Textron Aviation Company will arrive at the institute in April or May 2021.

“Nothing is more liberating than learning to fly. The Cessna Skyhawk piston is the most popular single-engine aircraft ever built and has achieved a reputation for being the ultimate training aircraft. This will attract more local and international aviation students,” Noor said.

Apart from procuring aircraft, through the EASTRIP Programme, NIT will construct nine new buildings which are Mocap building, boys and girls hostel, high tech building, modern computer lab, staff and students residences and the hangar in Dar es Salaam and Kilimanjaro.

Noor further explained that two hangars will be constructed, one in Julius Nyerere International Airport (JNIA) and the other at Kilimanjaro International Airport (KIA).
“In line with the pogramme, the institute will also procure the state of the art cabin crew mocaps, Aircraft engineering system trainers, virtual maintenance trainers and we are expecting the goods to arrive here at the institute mid next year,” he said.

NIT is a beneficiary of the Eastern Africa Skills for Transformation and Regional Integration Project (EASTRIP) launched in Addis Ababa, Ethiopia and three East African countries participating in the project including Tanzania, Ethiopia, and Kenya.

Through the project NIT received 21.25 million US dollars (almost 50bn/-) as financial support from the World Bank towards the procurement of three planes for practical purposes, building of a hostel and an aviation workshop.

The project supports the development of highly specialized Technical and Vocational Education and Training (TVET) programs as well as industry recognized short term certificate level training, and will target regional priority sectors in transport, energy, manufacturing and ICT.



NIT to become aerospace college

9. April 2019
09Apr 2019
The Guardian Reporter
MOSHI
News
The Guardian
NIT to become aerospace college

THE Tanzania Airports Authority (TAA) yesterday handed over an area of 60ha to the National Institute of Transport (NIT) in a move to transform the institute into the College of Aerospace Sciences and Technology.

air%20tanzania.jpeg


World Bank and the Chinese government have agreed to pump in US $ 83.5milion for the long-awaited project. The Bretton Woods Institution pledged to provide US $21.5million and Chinese government to release US$ 62million.

Speaking soon after the handing over function held at Kilimanjaro International Airport (KIA), NIT Rector, Prof Zacharia Mganilwa received the land for building infrastructures of ‘College of Aerospace Sciences and Technology’.

The handing over event was between NIT board chairman Prof Bavo Nyichomba and chief executive director of Kilimanjaro Airports Development Company (KADCO).

Prof Mganilwa said: “We will use the area to train our aviation experts especially those undergoing aircraft pilot studies, engineers and air hostesses”.

He said conducting practical trainings within the country will reduce the costs since the government was spending about 200m/- to train a single pilot abroad.

According to Prof Mganilwa, the costs of similar pilot courses at NIT will be 72m/- for beginners and 30m/- for those with certain knowledge on the aviation sector.

He said that once NIT starts to offer the courses, the number of aircraft pilots in the country will increase tremendously.

He added that practical studies will be provided efficiently as President John Magufuli has also promised to purchase two aircraft for the college. He said that processes for procurement of the aircraft are underway.

“We will a total of five aircraft because the government has already secured a loan from World Bank to purchase three planes for the college”, he said.

Chairman of NIT national leaders’ council, Prof Bavo Nyichomba said the government has been spending too much money to train pilots abroad. He said the college is capable of offering such courses if well equipped.

“We want to establish a centre of its kind which can receive students from all over Africa. Students from other African countries will be charged the same fee as for Tanzanian students”, he noted.

 
VIONGOZI NA WENYE DHAMANA NAWASIHI SANA
Kusudi la kwanza kupata dhamana ni kuwafaidia wote na kuleta haki kwa wote hasa Maskini wasio na watetezi. Haki anaitaka yoyote lkn maranyingi Maskini huikosa. Mungu huchukia sana watu wasipopendana. Mfano wa jambo hili kwenye video hii ni muhimu kuwa nalo na kulifanya.

BAADA YA KUFA TU NI HUKUMU
Tusipo angalia kwamba duniani tupo Kwa muda mfupi sana Tena sana, tukijisahau tu moto wa milele unatuhusu.

Mungu yeye akisha sema basi itakuwa hivyo huwa habadiliki.

Ukipenda sifa ukawasahau Maskini ukifa tu, Kuzimu ukisubiri kwenda Jehanamu ya milele.

Fedha na Heshima zinapita Kwa Kasi sana. Tafuta kumpendeza Mungu na sio wanadamu ambao hawatakupeleka kokote ukifa.

Ndugu zangu msijisahau hapa duniani ni Ubatili mtupu.

WAKUMBUKENI MASKINI NA KUWASAIDIA, MSIJIFURAHISHE MACHONI PA WATU TU BALI MFURAHISHENI MUNGU AWAJUAYE WATU WOTE
Yeye huuchunguza moyo.



Screenshot_20210924-091223_1632464026864.jpg
 
Wewe mbona kutwa kumtukana na kumkashifu Hayati? Kila thread unatukana watu. Una matatizo kichwani sio bure. Napata wasiwasi Moderator wako biased na watu wa mlengo wako vinginevyo ungeshapewa ban. Wewe ndio unaongoza kuharibu hii thread.
Inafikirisha hii.
Picha ya mama kwenye Kuta za Jiji la New York 😆😆..

Asiyempenda akajinyonge 👇
According to JPM "ukiona adui yako anakushangilia rudi ukajiulizi unafeli wapi." Na kinyume chake,

Actually hakuna adui... natania tu.
 
Sasa ulifikiri nini kufanya hiyo michezo michafu ,kisha ukategemea usinuke acha kugawa ccm
mkuu tumekubaliana,achana na huyo jamaa anatuharibia uzi ukimquote ndiyo unampa bichwa mpotezee

maana huwa hana hoja zinazoendana na huu uzi kila siku hoja zake ni hizo hizo,anatuletea siasa
 
waanzishe pia routes za Zanzibar-Nairobi, Zanzibar-Mombasa, Dar-Mombasa, Mwanza-Nairobi, Mwanza-Mombasa, Kilimanjaro-Mombasa!

BTW sijui kwanini fast ferries za Dar-Zanzibar hazifiki Mombasa?
I think Mombasa Znz has alot of traffic
So ...Dar- Znz- Mombasa Dar
and Dar -KIA- Nairobi 2x a day
...I reckon with another airbus (4th) we will open up West Africa Lagos and Accra ...
 
"Kisumu dalla"
bikeboda.jpg




Vehicles+002.JPG





tz hakuna mji mwingine yoyote nje ya Dar, kwingine kote ni vichakani. Dar 7million population!. sasa ni wakati wa kuhamia mashinani.
Kisumu Mega City! 👇
kisumu8.jpg
kisumu9.jpg
Screenshot_2021-10-12-10-47-24-04.jpg
kisumu2.jpeg.jpg
20210825_151126.jpg
20210825_150911.jpg
 
source: Simon wa JF! Nondo ulizoweka humu zilikuwa very classified nina uhakika mapigo ya moyo TRC yalienda mbio sana! Snowden alifungwa na Assange anataka kufungwa na the US kwa ajili ya violation of Data protection laws! Kule kenya kuna mtu anaitwa jacob Juma alipotezwa na Ruto kwa ajili ya sensitive infos! usisahau Msando wa IEBC! 😅 😅 🙆‍♂️ 🙆‍♂️
 
Back
Top Bottom