Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 19,729
- 59,985
Tuoneshe picha za Kilimani tucheke kidogo 🤣 🤣🤣Jamani mnaona vumbi hilo la ilala kwa pedestrian walks.
Tuoneshe picha za Kilimani tucheke kidogo 🤣 🤣🤣Jamani mnaona vumbi hilo la ilala kwa pedestrian walks.
Mzee unataka tujiexpose humu?!,I've been around the world!Alhamdulillah!!. Pole sana!!!Umekula lkn?!Au uko na strungi tu hapo toka asbh!!!!.Ulivyoandika tu, inaonyesha huna exposure yeyote nje ya Bongo, ndio maana unaisifia BRT na SGR ya Tz hivyo kupita kiasi. Nakuelewa sana mkuu. Tembea mzee, usikae kijijini, akili inayokudanganya mko juu ya nchi zote duniani, ni akili ya bhage! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hivi medulla oblangata yako iko sawa wewe, ati "blue buses"? Hebu wacha kujiabisha wewe, watu walitumia Trams na metros tokea 80's mitaani, unaongelea Bus? Super speed trains zilikuwa toka hata hamjui kama mtapata reli ya SGR, kuanzia Uchina hadi Jangwani kwa wamanga, wewe leo hii unajamba jamba SGR?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa jamaa sijui huaga wanafikiria Sisi level Yao au? sometimes huaga naona post zao nacheka Sana nimashawambia mara nyingi wabongo tunasafiri Sana tuna exposure kuliko nchi yoyote Ile East Africa sababu tuna huo uwezo sasa majirani zetu wengine hata kutoka nje ya Nairobi au mikoa Yao na kwenda mbali ni mtihani.Mzee unataka tujiexpose humu?!,I've been around the world!Alhamdulillah!!. Pole sana!!!Umekula lkn?!Au uko na strungi tu hapo toka asbh!!!!.
Shukrani kwa kumuelewesha huyu boya!!!! Sasa vitu kama hivi mnataka tunyamaze?!inaonekana walimu wako walipata sana shida kukuelewesha ulipokuwa unasoma. Hapa WAKUDAMSH hana maana kwamba TZ ndio wa kwanza kujenga vitu hivyo bali anaongelea uniqueness ya hivyo vitu tunaVyojenga especially in africa tofauti na nyie mambo yenu mengi ni copy & paste kuanzia majengo n.k hakuna uniqueness. UMEELEWA SASA SLUM BOY.
Shukrani kwa kumuelewesha huyu boya!!!! Sasa vitu kama hivi mnataka tunyamaze?!
View attachment 1824529
Si kwamba nadharau nguvu na pesa iliyotumika kusimamisha majengo yenu Wakenya ila muache kukopi kopi mbona KICC mlipatia na imebakia alama maisha yote!
😂😂😂 Ni tofauti kama mbingu na Ardhi, utopoloShukrani kwa kumuelewesha huyu boya!!!! Sasa vitu kama hivi mnataka tunyamaze?!
View attachment 1824529
Si kwamba nadharau nguvu na pesa iliyotumika kusimamisha majengo yenu Wakenya ila muache kukopi kopi mbona KICC mlipatia na imebakia alama maisha yote!
?Ni tofauti kama mbingu na Ardhi, utopolo
Sasa hiyo exposure yako ndio imekuonyesha Bongo mko juu na hizo BRT & SGR yenyu? Utakuwa umeenda Somalia ama Syria wewe! 🤣 🤣 🤣Mzee unataka tujiexpose humu?!,I've been around the world!Alhamdulillah!!. Pole sana!!!Umekula lkn?!Au uko na strungi tu hapo toka asbh!!!!.
Hujaelewa nin hapo ka mkubwa.?
Wataka kupangia wenye mjengo, hela yao watakavyoitumia? 😂 😂 😂 😂 Wewe boya kweli, kwani nilazima ajenge mtakavyo, vichwa maji kweli!, 🥴Shukrani kwa kumuelewesha huyu boya!!!! Sasa vitu kama hivi mnataka tunyamaze?!
View attachment 1824529
Si kwamba nadharau nguvu na pesa iliyotumika kusimamisha majengo yenu Wakenya ila muache kukopi kopi mbona KICC mlipatia na imebakia alama maisha yote!
Kajinyonge sasa 👇View attachment 1824541
Kama hiv kweli?!! Empire State Building jengo la kihistoria!Nimeshangaa pia mna statue ya Rio duh!
Wanafananisha na kisumu hahaha 🤣🤣🤣
Wacha hasira sasa 🤣🤣🤣🤣🤣Jamani mnaona vumbi hilo la ilala kwa pedestrian walks.
Usilete uchafu kenya
Wakenya ni wachovu wa akili huoni walikopi brt ya bongo wakaangukia corridorShukrani kwa kumuelewesha huyu boya!!!! Sasa vitu kama hivi mnataka tunyamaze?!
View attachment 1824529
Si kwamba nadharau nguvu na pesa iliyotumika kusimamisha majengo yenu Wakenya ila muache kukopi kopi mbona KICC mlipatia na imebakia alama maisha yote!