Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulivyoandika tu, inaonyesha huna exposure yeyote nje ya Bongo, ndio maana unaisifia BRT na SGR ya Tz hivyo kupita kiasi. Nakuelewa sana mkuu. Tembea mzee, usikae kijijini, akili inayokudanganya mko juu ya nchi zote duniani, ni akili ya bhage! Hivi medulla oblangata yako iko sawa wewe, ati "blue buses"? Hebu wacha kujiabisha wewe, watu walitumia Trams na metros tokea 80's mitaani, unaongelea Bus? Super speed trains zilikuwa toka hata hamjui kama mtapata reli ya SGR, kuanzia Uchina hadi Jangwani kwa wamanga, wewe leo hii unajamba jamba SGR?
Shida ni kwamba nyie hamna hivyo vyote ulivyotaja ila cc Tz tunavyo baadhi au nasema uongo
 
Kwa hivyo BRT, SGR ni unique huko kwenyu, aisee kutokusoma ni kubaya! Watu wanatumia flying & amphibious automobiles, wewe unaniambia BRT yenyu ni unique wakati zilikuwepo toka 70's...
View attachment 1824273
Kajinyonge sasa
1-Eiffel Tower ya France ina replicas - China, America, Germany, Pakistan, Russia nk...
2-The Maryhill, WA Stonehenge is a full-size, astronomically-aligned replica of Stonehenge located in Wiltshire, England.
3-China’s 'Fake' Cities Are Eerie Replicas of Paris, London and Jackson Hole, Wyoming. Many places where people live are replicas of other major cities in the world.
4-Replica of Mount Rushmore (Chongqing, China). The famous faces of the four American Presidents carved into Mount.
5-St Peter’s Basilica -- Nikko, Japan. Tobu World Square theme park in Nikko, Japan features 102 famous architectural and historic sites, all replicated at a 1/25 scale.

Ziko nyingi tu, na hizo nchi zote licha ya kufanya hivyo, hamuwezi wafika mpaka kiama... Nyie bakini na 'uniqueness' yenyu ya utopolo.
Sasa onesha ya kwenu
 
Na huyo anaye copy ana hela kukushinda! So anafanya anavyojisikia!
Pesa isiyoonekana, pesa inayoshindwa kwenda na kasi ya dunia

Pesa inayojenga vitu vya 80s, pesa gn unaongelea ikiwa mnashindwa kujenga km 5 za road mpk mkajiaibishe Europe
Sisi ndiyo tuna pesa tunajenga miradi mikubwa EA kwa pesa ya ndani, nyie ni mikopo all the way, mpk ss hakuna mradi mkubwa hata mmoja GoK inajenga kwa pesa yake, ss cjui tax mnalipa za nn
 
Hiyo skyscraper yako ya kisasa iko wapi, nionyeshe nifunge acc sahi tayari, boya na huna kitu. 😂 😂 😂
 
Nini hii wakenya 👇👇👇bado tu tribalism inatafuna nyama zenu, huyo muanzilishi wa taifa kazi yake ilikua kuiba ardhi tu na sio kuweka mambo sawa
 
Nairobi is the most mature city in East and Central Africa. Just beautiful
ycXn0X9.jpg
 
Pesa isiyoonekana, pesa inayoshindwa kwenda na kasi ya dunia

Pesa inayojenga vitu vya 80s, pesa gn unaongelea ikiwa mnashindwa kujenga km 5 za road mpk mkajiaibishe Europe
Sisi ndiyo tuna pesa tunajenga miradi mikubwa EA kwa pesa ya ndani, nyie ni mikopo all the way, mpk ss hakuna mradi mkubwa hata mmoja GoK inajenga kwa pesa yake, ss cjui tax mnalipa za nn
Deni hulipwa na nini km sio hzo kodi, nyie majamaa wa uniqueness mna tabu sana
 
Back
Top Bottom