Ulivyoandika tu, inaonyesha huna exposure yeyote nje ya Bongo, ndio maana unaisifia BRT na SGR ya Tz hivyo kupita kiasi. Nakuelewa sana mkuu. Tembea mzee, usikae kijijini, akili inayokudanganya mko juu ya nchi zote duniani, ni akili ya bhage! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hivi medulla oblangata yako iko sawa wewe, ati "blue buses"? Hebu wacha kujiabisha wewe, watu walitumia Trams na metros tokea 80's mitaani, unaongelea Bus? Super speed trains zilikuwa toka hata hamjui kama mtapata reli ya SGR, kuanzia Uchina hadi Jangwani kwa wamanga, wewe leo hii unajamba jamba SGR?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣