Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1. AKIRA LOUNGE & BAR
20170626_231124.jpg
2017-07-28.jpg
2020-08-14.jpg
2018-12-24.jpg
20170626_220006.jpg
DSC_6137.JPG
 
Nyie buses zenu ili zipate faida inabidi kuvuka boda, safari za ndani kwa ndani ni chache mno tofauti na sisi wenzenu tunasafiri mno ndani ya nchi, nyie kwenu ukabila unachangia kushindwa kuwa na safari nyingi ndani ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutajie route za ndani ambazo hazina mabasi, yani ukiona basi linapiga route za nje kwako ndio linaingiza faida au ndio halina safari za ndani
 
sasa unabishana vipi na wavivu wa fikra haujioni kuwa wewe ni mjinga
Km hutaki na pia vile vile hujui umuhimu wa shuttles we basi utasaidikaje katika huu ulimwengu..
Hata uweke coaster route moja na shuttle coaster halitoweza kuwahi faster katika hzo route za intercounties alafu mtu anakuja kuandika hapa ujinga akiongezea ujuaji mwingi
 
hueleweki jipange upya
 
Back
Top Bottom