Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa ndani ya parliament kwanini kq inaongelewa na iko ndani ya budget na ni wizara gani hupeleka mswaada wa kq bungeni...akili imeganda kwenye kipapa
Wabunge wana wizara siku hizi
Emu tuonyeshe waziri akiwasilisha huo mswada kuhusu KQ bungeni
 
Na huyu cs mbona anatoa order kwani yeye nani au muokota makopo
Achana na the star jomba, kila siku nakwambia lkn huskii
Hao huku hupata viewers vilaza km wewe, matiangi haja order curfew mzee baba..

Katiba yetu haijampa nguvu hyo mzee baba, lazima itoke order from the above alafu yeye afanye kupewa ripoti awasomee watu..

Ndio manake sa zile nika kuuliza km unamjua head of the cabinet, lkn kw bichwa lako panzi ukapuuza na kuanza kunengua..
Umeona sasa madhara yake, unapoulizwa kitu tafakari sana
 
Kwani serekali haina share kq ?? na kama serekali ina share kq iko chini ya wizara gani ?? Na bungeni ni wizara huongelea budget ya kq akili kichwani mwako
Lini hyo budget ya KQ iliongelewa bungeni
We kweli panya buku, we unajua kitu kinaitwa partneship kweli au ni ugumu wa kuelewa tu ndio manake unapayuka
 
Lakini lina ndege mpya 12 brand new ukiringanisha na shirika liko miaka 40 lina ndege tatu chakavu na bado loss ya billions ksh ziko juu yameza miaka 10
Bado haitabadilisha km KQ imeingiza faida mara kadhaa zaidi ya hyo hasara
 
Unaona hapo juu kaweka picha ya nani
Tunazungumzia mkuu wa wizara husika alieachiwa wizara kuiongoza kq iko chini ya wizara ya transport na wizara hio inaongozwa na macharia ndio boss wa wizara aliopewa kenge wewe🀣🀣🀣🀣🀣
 
Lete evidence kutoka KQ tumalize mjadala km wewe una makende mawili kweli
Mm nakuletea evidence kutoka kwa mkuu wa wizara inayoismamia kq πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ na huyo huyo mkuu hashtag yake kawatag kq 🀣🀣🀣 mbona kq hawajampinga boss wao sasa
 
Katoa oder au kapewa ripoti akasomee watu
Umeona sasa km vile we ni pumba
Kama kapewa report akaseme na huyu katoa report awasilishe na kawatag kq pamoja na transport keπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Wabunge wana wizara siku hizi
Emu tuonyeshe waziri akiwasilisha huo mswada kuhusu KQ bungeni
So kesi ya kq hua inapelekwa bungeni kufanya nn ?? Na kwann kq iko ndani ya budget ya wizara ya transport na kwann hua nijadiliwa bungeni ???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Achana na the star jomba, kila siku nakwambia lkn huskii
Hao huku hupata viewers vilaza km wewe, matiangi haja order curfew mzee baba..

Katiba yetu haijampa nguvu hyo mzee baba, lazima itoke order from the above alafu yeye afanye kupewa ripoti awasomee watu..

Ndio manake sa zile nika kuuliza km unamjua head of the cabinet, lkn kw bichwa lako panzi ukapuuza na kuanza kunengua..
Umeona sasa madhara yake, unapoulizwa kitu tafakari sana
The star ni media kutoka kenya imesajiliwa na serekali ya kenya na ni official media from kenya πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ tatizo lako hupendi ukweli mzee

Tulia urambe dawa 🀣🀣🀣🀣 eti namjua head of cabinet na kazi ya cs ni nini kwenye wizara au hujui hio ni system mume copy kutoka england πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Kama ilitoka order from above na huyu ndio kawasilisha sasa kwann ukatae πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜πŸ˜

Back
Top Bottom