ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Na ile eldoret muliojenga miaka 24 na iko idle utafananisha na zanzibar airport ina handle 1.5m passengerAirport bila abiria ni hekalu tu! Passengers zero #ripMagu😁😁
Na ile eldoret muliojenga miaka 24 na iko idle utafananisha na zanzibar airport ina handle 1.5m passengerAirport bila abiria ni hekalu tu! Passengers zero #ripMagu😁😁
Bado unashindanisha ushuzi na ATCL na hujui kma ATCL investment inaendelea kuna ndege 6 tayar ziko kwenye pipeline 3 mwaka huuI wonder what happened to the profits they used to talk about, tukiambia watuwekee finacials za ATCL
Haiwezekani hata siku moja 😄😄 yani hio 2b per day ni kama salamu ya asbhKwa hiyo 2B loss haiwekani kuzuiwa kabisa?
Sasa kama dada za Uhuru na niece na nephew wanafaidika, nani ataweka paka kengele? Uliza Sonko akueleze michezo ya first family!Kwa hiyo 2B loss haiwekani kuzuiwa kabisa?
Katoa oder au kapewa ripoti akasomee watu[emoji23]Na huyu cs mbona anatoa order kwani yeye nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au muokota makopo
Wabunge wana wizara siku hizi[emoji23][emoji23]Sasa ndani ya parliament kwanini kq inaongelewa na iko ndani ya budget [emoji2][emoji2] na ni wizara gani hupeleka mswaada wa kq bungeni...akili imeganda kwenye kipapa
Achana na the star jomba, kila siku nakwambia lkn huskii[emoji23][emoji23]Na huyu cs mbona anatoa order kwani yeye nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au muokota makopo
Lini hyo budget ya KQ iliongelewa bungeni[emoji23][emoji23]Kwani serekali haina share kq ??[emoji1787][emoji1787] na kama serekali ina share kq iko chini ya wizara gani ?? Na bungeni ni wizara huongelea budget ya kq [emoji23][emoji23][emoji23] akili kichwani mwako
Bado haitabadilisha km KQ imeingiza faida mara kadhaa zaidi ya hyo hasaraLakini lina ndege mpya 12 brand new ukiringanisha na shirika liko miaka 40 lina ndege tatu chakavu na bado loss ya billions ksh ziko juu yameza miaka 10 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaona hapo juu kaweka picha ya nani[emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1751961
Lete evidence kutoka KQ tumalize mjadala km wewe una makende mawili kweli40- 20 lease - 17 loan = hebu jibu hapo[emoji1787][emoji1787]
Tunazungumzia mkuu wa wizara husika alieachiwa wizara kuiongoza kq iko chini ya wizara ya transport na wizara hio inaongozwa na macharia ndio boss wa wizara aliopewa kenge wewe🤣🤣🤣🤣🤣Unaona hapo juu kaweka picha ya nani[emoji23]
Mm nakuletea evidence kutoka kwa mkuu wa wizara inayoismamia kq 🤣🤣👇👇👇👇 na huyo huyo mkuu hashtag yake kawatag kq 🤣🤣🤣 mbona kq hawajampinga boss wao sasaLete evidence kutoka KQ tumalize mjadala km wewe una makende mawili kweli
Kama kapewa report akaseme na huyu katoa report awasilishe na kawatag kq pamoja na transport ke👇👇👇👇😁😁😁😁Katoa oder au kapewa ripoti akasomee watu[emoji23]
Umeona sasa km vile we ni pumba
So kesi ya kq hua inapelekwa bungeni kufanya nn ?? Na kwann kq iko ndani ya budget ya wizara ya transport na kwann hua nijadiliwa bungeni ???😂😂😂😂😂Wabunge wana wizara siku hizi[emoji23][emoji23]
Emu tuonyeshe waziri akiwasilisha huo mswada kuhusu KQ bungeni
The star ni media kutoka kenya imesajiliwa na serekali ya kenya na ni official media from kenya 😄😄😄😄 tatizo lako hupendi ukweli mzeeAchana na the star jomba, kila siku nakwambia lkn huskii[emoji23][emoji23]
Hao huku hupata viewers vilaza km wewe, matiangi haja order curfew mzee baba..
Katiba yetu haijampa nguvu hyo mzee baba, lazima itoke order from the above alafu yeye afanye kupewa ripoti awasomee watu..
Ndio manake sa zile nika kuuliza km unamjua head of the cabinet, lkn kw bichwa lako panzi ukapuuza na kuanza kunengua..
Umeona sasa madhara yake, unapoulizwa kitu tafakari sana