Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni swali gani umemuuliza akashindwa kukujibu zaidi ya kuimba taarabu humu?

Zaidi ya kukana tweet ya Waziri mwenye dhamana kwenye transport ni swali gani umemuuliza?
🤣🤣🤣🤣🤣 anakwambia macharia sio waziri wake sasa sijui ni waziri wa nini locusts labda
 
Kiongozi wa cabinet ni nani?
👇👇👇👇👇😆😆😆😆😆
B01EE62A-1CB8-4C53-9F72-70E75A9B3A3D.jpeg
 
Na ni kweli haifanani, km shirika lilifikia mpka level ya kufa na kuzikwa we unafikiria tutafanana kweli..
ATCL faida kwake mwiko
Lakini lina ndege mpya 12 brand new ukiringanisha na shirika liko miaka 40 lina ndege tatu chakavu na bado loss ya billions ksh ziko juu yameza miaka 10 🤣🤣🤣🤣
 
Kuteuliwa ndio kusimamia, we kweli pumba..yani uteuliwe ndio ukasimamie shirika ambalo sio fully government owned, we una akili kweli
Kwani serekali haina share kq ??🤣🤣 na kama serekali ina share kq iko chini ya wizara gani ?? Na bungeni ni wizara huongelea budget ya kq 😂😂😂 akili kichwani mwako
 
Kuteuliwa ndio kusimamia, we kweli pumba..yani uteuliwe ndio ukasimamie shirika ambalo sio fully government owned, we una akili kweli
Sasa ndani ya parliament kwanini kq inaongelewa na iko ndani ya budget 😃😃 na ni wizara gani hupeleka mswaada wa kq bungeni...akili imeganda kwenye kipapa
 
Kuteuliwa ndio kusimamia, we kweli pumba..yani uteuliwe ndio ukasimamie shirika ambalo sio fully government owned, we una akili kweli
Na huyu cs mbona anatoa order kwani yeye nani 🤣🤣🤣🤣🤣 au muokota makopo
 
Bado hatujaunganisha pesa za walipa kodi zilizotunika kinyume na katiba kukomboa hayo mapipa..
Yani rougly mumepoteza more than a bilion dollar na bado mnasema mnawekeza tu[emoji23][emoji23].


Tony254 naona tune imebadilika huku, jamaa kuanzia shirika lianzishwe miongo mitatu minne iliyopita bado halijui faida ni nn[emoji2960][emoji2960]
I wonder what happened to the profits they used to talk about, tukiambia watuwekee finacials za ATCL
 
Airport bila abiria ni hekalu tu! Passengers zero #ripMagu😁😁
Ebu tengua kauli yako mzee zanzibar inapokea abiria wengi sana na ni yatatu afrika masharik na kati kwa abiria, usifananishe iyo na hekalu lenu la mombasa na kisumu uko
 
Back
Top Bottom