Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Soma kwanza nilichokiandika na uache kujirudia rudia km mtoto wa chekechea..

Narudia tena, faida ya takribani miongo miwili ni nyingi kuliko hasara ya miaka kumi
Shida kubwa kwann macharia kaongea ukweli so humtaki cs aliepewa dhamana 🤣🤣🤣🤣
 
Umeona sehemu akimtaja raisi, kapuuzwa kijana wako
Rais ndio kampa mamlaka cs macharia na kamkabidhi wizara hio na ndio anaiendesha wizara hio sasa leo macharia hajui mambo ya kq kuliko wewe boga 😅😅😅😅
 
Umekasirika, boss kutoka wapi[emoji23][emoji23]
Chattle au
Macharia 😁😁😁😁 leo hujui kinchoendele kq na macharia wewe sio mkuu wa wizara hio
8C203EB2-6087-49EB-8060-E0FDB05223D7.jpeg
 
Leo noo na wewe mzee wa pumba, lazima nikulete hata mara moja kw mwezi ndio akili zikukae sawa ichoboy01

Twende kilaza, nasubiria link ya hyo ripoti ya macharia
Kwamba macharia sio boss wa wizara ya uchukuzi kenya 😄😄😄😄 yani macharia huyo huyo alieteuliwa na rais wa kenya

Na macharia huyohuyo kawatag official kenya airways
 
Leo nko na wewe kilaza, wasemaje hata km ni nmpaka asubuhi..ee ukitaka jitikie utahira kabisa lkn mi bado sitosita kwenda nawe sambamba ichoboy01 njoo hku bana mnenguaji ingawaje jiwe akili zake keshatangulia nazo
🤣🤣🤣🤣🤣 kilaza ni nani ww au macharia
79165270-BC63-4F09-B555-6EB42419CB36.jpeg
 
Ni sawa uniambie mkuu wa shirika la ATCl na waziri wa uchukuzi nani boss wa mwenzie hahahha komora096 🤣🤣🤣🤣 yani boss wa ATCL awe mkubwa kwa waziri wa uchukuzi na waziri wa uchukuzi asiwe na taarifa kuhusu ATCL hahahahh kweli leo nimecheka sana

Mfano huu hapa 🤣🤣👇👇👇

DB1E2998-AC8C-4296-8416-56B40BA14016.jpeg

8E3A710C-5E7C-4876-9356-A4C2F68FF93D.jpeg
 
Bishana na mm ukiwa na akili tumamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1752246

Narudia tena, KQ haimilikiwi na serekali, we ukitaka lia[emoji23][emoji23]
 
Rais ndio kampa mamlaka cs macharia na kamkabidhi wizara hio na ndio anaiendesha wizara hio sasa leo macharia hajui mambo ya kq kuliko wewe boga [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Boss wa KQ huyo hapo chini[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Hyo ndio ana mamlaka kuhusu KQ
20210414_234125.jpg
 
Back
Top Bottom