Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni swali gani umemuuliza akashindwa kukujibu zaidi ya kuimba taarabu humu?

Zaidi ya kukana tweet ya Waziri mwenye dhamana kwenye transport ni swali gani umemuuliza?
Tweet ina uhusiano gani na KQ, we unafikiria kenya airways ni km atcl mtu yyte ana uwezo wa kuiendesha atakavyo
 
Abeid Karume International Airport Terminal 3 Zanzibar. Bado Msalato International Airport tumalize hii ligi ya viwanja vya ndege.

efc14fbc-cf6d-4bc1-9573-ff4c645e352f.jpg

60404a89-e05f-41cc-8652-664a84d84aca.jpg

1af0cfe1-bf2a-4c7b-98f4-728fd84f1cfa.jpg

e7bc83d1-ed33-46fc-a795-452b4bc5246e.jpg

055b50dc-0128-4690-9842-a4b2db785727.jpg

5f3c1a3a-9a47-4271-aa0e-4de90dc029e2.jpg

6c2fd9f5-970a-454a-b185-29ebaf90a57c.jpg
 

Attachments

  • IMG_6499.jpg
    IMG_6499.jpg
    52 KB · Views: 27
Hata ingekua ni miaka miwili bado haifanani na haitafanana na hasara ya kq mpaka dunia inasimama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ni kweli haifanani, km shirika lilifikia mpka level ya kufa na kuzikwa we unafikiria tutafanana kweli..
ATCL faida kwake mwiko
 
Kateuliwa anasmamia wizara gani na ni mkuu wa wizara gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuteuliwa ndio kusimamia, we kweli pumba..yani uteuliwe ndio ukasimamie shirika ambalo sio fully government owned, we una akili kweli
 
Abeid Karume International Airport Terminal 3 Zanzibar. Bado Msalato International Airport tumalize hii ligi ya viwanja vya ndege.

View attachment 1751865
View attachment 1751866
View attachment 1751867
View attachment 1751868
View attachment 1751869
View attachment 1751870
View attachment 1751871

JNIA wameikubali [emoji736]
AKIA wameikubali [emoji736]
KIA wameikubali [emoji736]

bado Mwanza na Msalato (mojawapo itakuwa Magufuli IA[emoji848])
Songwe nayo [emoji736]
Bukoba nayo [emoji736]
 
Back
Top Bottom