ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 ukiwa na maana serekali haina miliki kenya airways ama ?? Na kama inayo miliki lazima iwe chini ya wizara na mwenye wizara hio aliepewa dhamana ni macharia mzee baba 👇👇👇👇 piga ufe ugaregare mwenye wizara aliepewa dhaman ni macharia 😅😅😅😅Lini hyo budget ya KQ iliongelewa bungeni[emoji23][emoji23]
We kweli panya buku, we unajua kitu kinaitwa partneship kweli au ni ugumu wa kuelewa tu ndio manake unapayuka