kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,765
- 3,070
Hapo Ni lami inawekwa ya magari yatakayo pitia kwa OverpassUna wazimu auu? Hapo uweke lami afu iweje View attachment 1687020
Hapo Ni lami inawekwa ya magari yatakayo pitia kwa OverpassUna wazimu auu? Hapo uweke lami afu iweje View attachment 1687020
Iyo barabara ya Mwenge -morroco ni 4km Mradi wa ksh4.5B =tsh90B wanajenga barabara 6lanes mitaro mikubwa sana yakuchepusha maji...brtlanes stations na traffic lights....Ni road moja bomba sana sema wako slow mnoNi barabara za juakali tu, mbona unashangaa,
Jionee kazi ya Mchina ya miezi tatu tu
View attachment 1687014View attachment 1687015
Hapo sawa,,or you change the contractor?Iyo barabara ya Mwenge -morroco ni 4km Mradi wa ksh4.5B =tsh90B wanajenga barabara 6lanes mitaro mikubwa sana yakuchepusha maji...brtlanes stations na traffic lights....Ni road moja bomba sana sema wako slow mno
Hatujafaham badoHapo sawa,,or you change the contractor?
sure yaani wahuni wapo kila kona ya dunia ukienda kichwa kichwa wakishakujua we ni mgeni tu wanakupiga,,,German kuna wahuni wengi wa kituruki,sitosahau na ushamba ushamba wq europe nyakati hizo waliponipiga canon eos ya matoy kwa euro ndefu tu mbwa wale
hao wapo speed sana,,,hiyo yote sababu pesa yote ni yao hivyo hawana mda wa kupoteza.....Ni barabara za juakali tu, mbona unashangaa,
Jionee kazi ya Mchina ya miezi tatu tu
View attachment 1687014View attachment 1687015
Naona bado linajengwa. Bado halijakamilika. Litabadilisha maandhari ya eneo hilo litakapokamilika. Halafu mbona huwa hampost picha ya hilo jengo humu?Mzizima towers. Hilo refu Lina floor 35 halafu lenzake Lina floor 33