Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

. Saa zingine huwa napiga kimya tu Ila sijawahi kuona watu wa hovyo kama wanaobeza sisi kununua ndege zetu wenyewe, . Watanzania waliokwama India ☝️ Mungu atupe nini je tusingekua na ndege zetu ingekuaje.? . Watanzania waliokwama China ☝️ .jamani tujifunze kumheshim rais magufuli ametutendea yanayostahili kabisa
 
. Meli hiyo mv mwanza . Kivuko Cha mv ukara . Mv kazi dsm kivuko cha mv kilindoni mafia . Kivuko Cha mv mwanza kivuko Cha mv ilemela kivuko Cha mv uka II . Mv butiama mbioni kukamilika. My take Tony254 ukiona tunanunua ndege kwa cash haimaanishi kwamba vitu vingine haviendi,hela ipo bro haya kwa leo inatosha siku nyingine nitakuonyesheni zaidi ya hapo
 
MV Butiama inafanya kazi tayari

Majirani mna nini lakini
Screenshot_20210113-101556.jpg
 
. Dom yetu . I bet after five years Dom will be in the top three list of most developed cities in EA
Dodoma itakua babkubwa ndani ya miaka 10 ijayo....itafunika miji mingi sana Africa!! Sisemei ukanda huu pekee yake...Taswira halisi itaonekana miradi ya airport ring roads na highways zikishakua tayari...sambamba na mapinduzi ya mji a serikali kutaiva sana
 
Una wazimu auu? Hapo uweke lami afu iweje [emoji116][emoji116]View attachment 1687020
Wewe ndio una wazimu. Hapo ulipochora mshale wa samawati itakuwa ramp. Hapo ndipo magari yatakapopanda ili kujiunga na barabara ya juu ya expressway. Na itakuwa lami. Mbona hata nyinyi ubungo flyover pia mna ramp au unataka kujifanya kwamba hujawahi kuona ramp kwenye ubungo flyover?
 
Back
Top Bottom