Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Spidi Yao ya ujenzi si ya kawaida! Kwa spidi hii mwezi mmoja tu wangejenga Uhasibu flyover na Chang'ombe flyover ambazo nazo zinajengwa na wachina ila wako so slow!
Spidi ya hawa Wachina iko juu kwa sababu wanatumia pesa yao kujenga. Sababu ya pili ni kwamba wanaiharakisha ili waanze kurudisha pesa yao haraka

Cc tuusan
 
. Mambo Ni mengi sana,maji kutoka lake Victoria kwenda mikoani ili yakatumike Kama maji safi na salama

Hapa kwa kutoa maji Lake Victoria tunastahili kujifunza kutoka kwenu. Sijui ni kwa nini sisi hatujawahi kufikiria kutoa maji Lake Victoria na kuyasambaza Kenya nzima. Mbaya zaidi ni kuwa Lake Turkana is a fresh water lake na bado kuna misimu ambayo watu wanakufa njaa. Serikali inastahili kuweka bomba ya kutoa maji kutoka L. Turkana hadi maeneo yote ya Turkana
 
. Meli hiyo mv mwanza . Kivuko Cha mv ukara . Mv kazi dsm kivuko cha mv kilindoni mafia . Kivuko Cha mv mwanza kivuko Cha mv ilemela kivuko Cha mv uka II . Mv butiama mbioni kukamilika. My take Tony254 ukiona tunanunua ndege kwa cash haimaanishi kwamba vitu vingine haviendi,hela ipo bro haya kwa leo inatosha siku nyingine nitakuonyesheni zaidi ya hapo

Hapo kwenye vivuko (ferry) mumetupiga vilivyo.
 
Hapa Ni Tz wapi😍?
FB_IMG_16117273774635375.jpg
 
. Sio tu umeme hata maji ni uhakika . Tony254 ukiona tumenunua ndege haimaanishi kwamba Mambo mengine hayaendi lahasha. .mradi wa maji mkubwa Arusha
. Hata hayo maji ya ziwa Victoria pia yanutmiwa tabora Kama maji safi na salama
. Hakuna eneo liliachwa hata moja. Vihenge vya kuhifadhia nafaka babati .kwanini tusiwauzie chakula Kenyans.?
. Mambo Ni mengi sana,maji kutoka lake Victoria kwenda mikoani ili yakatumike Kama maji safi na salama
. Mambo ya viwanda hayo kiwanda kikubwa kabisa EA cha bidhaa za ngozi
. Meli hiyo mv mwanza . Kivuko Cha mv ukara . Mv kazi dsm kivuko cha mv kilindoni mafia . Kivuko Cha mv mwanza kivuko Cha mv ilemela kivuko Cha mv uka II . Mv butiama mbioni kukamilika. My take Tony254 ukiona tunanunua ndege kwa cash haimaanishi kwamba vitu vingine haviendi,hela ipo bro haya kwa leo inatosha siku nyingine nitakuonyesheni zaidi ya hapo
Hayo yote niliopost leo Tony254 komora096 Ni mafanikio ya ndani ya miaka mitano tu .tukiwaambia sisi tupo vizuri zaidi yenu inawapasa mkae kimya
Hehehehee sio kwa sindano hizi za asubuhi asubuhi
 
Spidi Yao ya ujenzi si ya kawaida! Kwa spidi hii mwezi mmoja tu wangejenga Uhasibu flyover na Chang'ombe flyover ambazo nazo zinajengwa na wachina ila wako so slow!
Si utume hapa renders za hizo flyover plz
 
Huo mradi unatakiwa kuisha lini....Mimi nna hamu na BRT ya gomz waanze

Hata mimi na hamu na hyo maana inaenda all the way to airport na hadi azikiwe streeet posta mpya

Pia BRT ya Tegeta Phase 4 Hii inakuja Bagamoyo road all way to Posta

In short phase zote 6 ni muhimu i wish wangetoa tender zote sita kwa mara moja uishe .Tuanze ku focus kwenye Planned Light Rail Mass Transit

Kuna ile project ya ku develop Jangwani Msimbazi River Basin iwe ya aina yake cost intially was around 100mil usd sijajua imefikia wapi
 
Back
Top Bottom