Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's true kwasababu ata ukisikia mahali popote kumetajwa maasai lazima uskie Ni kenya,wa uko TZ wanatupa culture zao ata ka si zote,Tanzania wanafaa kuweka maeneo ya kufunza watu wao culture ambazo walitupa,wasigeuke wote wakue waswahili,Makabila huko wanajitambuaga tu kijina Ila si kiutamaduni za kwao
Una khabari na unacho kizungumzia Dogo kama kuna country ambayo inasahau tamaduni Zake kwenye rate ya juu popote pale afrika ya mashariki ni Kenya tukianzia mavazi, vyakula vya kiasaili na ustaarabu ndo ilishawakimbiaga zamani Sana 🙂apart from Masai,turkana na wapokot na baadhi ya makabila pwani ya Kenya nitajie kabila lingine lenye kuzingatia tamaduni Zake Kenya?🙂nyie ndo mna mambo ya kizungu Sana 🙂Una mkuta binti mdogo Kenya hawezi hata kusonga ugali 🙂 kazi ni kupiga order,pizza Inn, Domino's,KFC, burger king Yani ikifikia swala la tamaduni mko kidigital sana
 
Wewe unaongea nini Tony254?

Una matatizo ya akili? Huwezi kutaja Kenya bila njaa, utakua umekosea heshima, ninyi njaa ndio identity yenu number 1
Wacha ujinga. Tusikoseane heshima. Kumbuka nilishakublock once na naeza rudia tena. Mimi sina haja ya kubadilisha handles. Nina handle moja hapa JF full stop.
 
Wacha Diamond akule mali yake polepole.
Kusafisha rungu siyo shida, tatizo hakai na watoto wake wakati uwezo anao. Wale wengine walio SA hakuwaona kwa miaka miwili, anajidanganya kudhani kutoa pesa ya matunzo ndiyo malezi. Haya mambo ya sisi wanaume kuwaachia wanawake jukumu la kuwaangalia watoto 24/7 linaharibu jamii zetu.

Wanawake siyo protectors by nature, they can't see danger. Watu waovu wakiona baba hayupo kwenye maisha ya watoto wanaona wanaweza kuwanyemelea watoto hao kirahisi. Wanaanza kuwafundisha tabia mbaya au hata kuwaingiza kwenye mauchafu ya LGBT. Jamaa anakosea sana, kwa uwezo wake angeweza kutengeneza mazingira ya kuwa karibu zaidi nao.
 
Congrats Mobious

171031155258-mobius-africa-car-3-live-video.jpg
 
Yaani bado kuna Watanzania wanaofikiri kwamba port zao zote tatu kwenye Indian ocean zinaweza kupakua mizigo mingi kushinda port yetu moja?

 
wanakusanyika hiv wengine bila hata masks, afu wizara bado inaendelea kupima! what a nonsense! wakenya mjue mnapigwa kwenye upimaji, watu wanajilia hela tu za bure. wake up!
 
Back
Top Bottom