Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
wanakusanyika hiv wengine bila hata masks, afu wizara bado inaendelea kupima! what a nonsense! wakenya mjue mnapigwa kwenye upimaji, watu wanajilia hela tu za bure. wake up!
Muzungu car bussiness assembled in Kenya.
hawa wawili ni Raia wa Tanzania japokuwa wana asili za Kiasia na Kiarabu! kwetu sie hatuna ubaguzi nyie tayari mna dynasty vs hustler way ahead kabla ya 2022!Pilots wenu ni wahindi? Hahaha. That just goes to show how undeveloped the human skills and resource in TZ is. You need to invest in the education and skills of your people, not just spending money on building dams and railways. KQ huwa inasomesha pilots wake from the local population. The same is true for Ethiopian airways, kila pilot wa Ethiopian airways ni Mhabeshi. Kila pilot wa KQ ni Mkenya. Guyz you need to develop your human resource, not just your infrastructure.
Asante imekaribia mi naishi MajiMazuriWe utakua wa Santon kasarani 🙂
Inauma sanaMradi wa 8 bilioni Ksh. Umeishia hapo..
View attachment 1685671View attachment 1685673View attachment 1685674View attachment 1685675
sorry It was just an expression ndio WaTZ wasikue wakisema eti Kenya kuna njaa na wako ma shamba na pesa,wanaweza nunua chakula ata huko mbali Indiaacha usifananishe tena askari yeyote wa Tanzania na vitu vya ajabu ajabu. Tanzania ghala zaidi ya 42 za silaha zililipuka DAR na shughili zikaendelea kama kawaida. Hawa ndiyo wa kuwafananisha na poor turkanas in kenya? huu ni zaidi ya udhadhilishaji.
I’m not gonna lie. The buses are ugly af.Mradi wa 8 bilioni Ksh. Umeishia hapo..
View attachment 1685671View attachment 1685673View attachment 1685674View attachment 1685675
True Lakini Heri kupika chakula za kiutamaduni zenyu kuliko za wengine,unapata TZ huko wote wanaishi na kukula kiuswahili wote mpaka maasai,Kenya kwajili ya Utamaduni tofauti makabila flani hayaelewani na kuleta Vita Kwahivyo hatujapoteza utamaduniUna khabari na unacho kizungumzia Dogo kama kuna country ambayo inasahau tamaduni Zake kwenye rate ya juu popote pale afrika ya mashariki ni Kenya tukianzia mavazi, vyakula vya kiasaili na ustaarabu ndo ilishawakimbiaga zamani Sana 🙂apart from Masai,turkana na wapokot na baadhi ya makabila pwani ya Kenya nitajie kabila lingine lenye kuzingatia tamaduni Zake Kenya?🙂nyie ndo mna mambo ya kizungu Sana 🙂Una mkuta binti mdogo Kenya hawezi hata kusonga ugali 🙂 kazi ni kupiga order,pizza Inn, Domino's,KFC, burger king Yani ikifikia swala la tamaduni mko kidigital sana
Labda nikiuleweshe kitu kimoja kwetu muhindi/Asians ni watu wa kawaida tu bro wengi wamezaliwa Tanzania na wengi walipata uraia wa Tanzania zamani Sana,mfano miji yote Tanzania utakuta wahindi au Asians wanakaa maisha ya kawaida tu kama vile mbongo tofauti na nyinyi majirani zetu whereby mitaa kama vile pangani, parklands,grogon etc ni mitaa ya Asians ambao wamijitenga na hawataki kugusana na ngozi nyeusi ndo unakuta bongo muhindi anapanda mwendo Kasi au daladala kama mtu WA kawaida🙂Pilots wenu ni wahindi? Hahaha. That just goes to show how undeveloped the human skills and resource in TZ is. You need to invest in the education and skills of your people, not just spending money on building dams and railways. KQ huwa inasomesha pilots wake from the local population. The same is true for Ethiopian airways, kila pilot wa Ethiopian airways ni Mhabeshi. Kila pilot wa KQ ni Mkenya. Guyz you need to develop your human resource, not just your infrastructure.
KQ in pilot wazungu pia..Labda nikiuleweshe kitu kimoja kwetu muhindi/Asians ni watu wa kawaida tu bro wengi wamezaliwa Tanzania na wengi walipata uraia wa Tanzania zamani Sana,mfano miji yote Tanzania utakuta wahindi au Asians wanakaa maisha ya kawaida tu kama vile mbongo tofauti na nyinyi majirani zetu whereby mitaa kama vile pangani, parklands,grogon etc ni mitaa ya Asians ambao wamijitenga na hawataki kugusana na ngozi nyeusi ndo unakuta bongo muhindi anapanda mwendo Kasi au daladala kama mtu WA kawaida🙂
KQ mbona mnapilot wazungu na wahindi au wakiwa KQ siyo ishu?Pilots wenu ni wahindi? Hahaha. That just goes to show how undeveloped the human skills and resource in TZ is. You need to invest in the education and skills of your people, not just spending money on building dams and railways. KQ huwa inasomesha pilots wake from the local population. The same is true for Ethiopian airways, kila pilot wa Ethiopian airways ni Mhabeshi. Kila pilot wa KQ ni Mkenya. Guyz you need to develop your human resource, not just your infrastructure.
Ndo nashangaa🙂KQ mbona mnapilot wazungu na wahindi au wakiwa KQ siyo ishu?
Unaota weweKQ mbona mnapilot wazungu na wahindi au wakiwa KQ siyo ishu?
Buses hizo zitafail kabla nizipande,But I think they are just buying time to build Good scania buses in Mombasa,that's why wanapimanisha watu na Basi nne maybe😃Mradi wa 8 bilioni Ksh. Umeishia hapo..
View attachment 1685671View attachment 1685673View attachment 1685674View attachment 1685675
unabisha?Unaota wewe
Kq haina pilot wakihindi na wazungu?ukijibu ilo swali basi utakua umeeleweka vizuri sanaPilots wenu ni wahindi? Hahaha. That just goes to show how undeveloped the human skills and resource in TZ is. You need to invest in the education and skills of your people, not just spending money on building dams and railways. KQ huwa inasomesha pilots wake from the local population. The same is true for Ethiopian airways, kila pilot wa Ethiopian airways ni Mhabeshi. Kila pilot wa KQ ni Mkenya. Guyz you need to develop your human resource, not just your infrastructure.
Huyu hapa ni mnubi?🙂Unaota wewe