Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha!!ngoja sasa uone vile atakuja kunengua
Kwamba unajiquote mwenyewe af unajijibu mwenyewe, what a joke [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Kwamba unajiquote mwenyewe af unajijibu mwenyewe, what a joke [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Eeee nimeji quote, usijali siku na wewe ukitaka kajiquote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa mhimu bana, heri nijihini baadhi ya vitu kisa angalau nipate zingine niongezee nifanye kitu cha kuniletea hela
Ata Mimi nkiambiwa nlipwe njifanye svaangi nguo I will do it for money
 
Do you know Turkana walipelekewa viatu wakakataa kuzivaa zinaharibikia kwa nyumba,Wacha wengine waendelee kusema sjui njaa,nyumba ya matope, TZ hakuna true pastoralists Ndio maana hawajui Hawa watu wana use a lot of bullets than any war TZ has ever seen😃
 
Mi kwanza Ni Mkenya Damu Lakini napenda ngoma za Diamond kwasababu Ni nzuri kweli kweli Lakini spendi anavyo chukua waschana akiwaacha hio ni ulofi wa juu
 
karibu sana. watanzania, wakenya wote wanaokuja humu huwa wana mentality hii (brainwashed mind) sasa tuhakikisha tunawaonyesha uhalisia ulivyo kwamba Tanzania ya sasa sio ile wanayodanganywa huko kwao.. huyu sijui ni ‘ID mbili ‘ au ni mgeni kbsa
Ni mgeni ila ananijua tayari!
 
IMG_5015.jpg
 
Back
Top Bottom