Huku Ni Mombasa🔥
Lakini ni kuchokoza tu najua Huku Ni Tz Temeke,don't worry😃
Unataka kusema wamasai wa Kenya ndiyo wenye "culture"?Lakini hawana culture yao ya kitambo juu ya Ujamii system kukosa kutambua asili yao,It like forggeting the face of my father not Good
It's true kwasababu ata ukisikia mahali popote kumetajwa maasai lazima uskie Ni kenya,wa uko TZ wanatupa culture zao ata ka si zote,Tanzania wanafaa kuweka maeneo ya kufunza watu wao culture ambazo walitupa,wasigeuke wote wakue waswahili,Makabila huko wanajitambuaga tu kijina Ila si kiutamaduni za kwaoUnataka kusema wamasai wa Kenya ndiyo wenye "culture"?
A typical uniformed Kenyan.It's true kwasababu ata ukisikia mahali popote kumetajwa maasai lazima uskie Ni kenya,wa uko TZ wanatupa culture zao ata ka si zote,Tanzania wanafaa kuweka maeneo ya kufunza watu wao culture ambazo walitupa,wasigeuke wote wakue waswahili,Makabila huko wanajitambuaga ju kijina Ila si kiutamaduni za kwao
Thanks ata Mimi ninajaribu kujifunza utamaduni yetu nkapata inafanana kiasi na ya kichagaA typical uniformed Kenyan.
acha usifananishe tena askari yeyote wa Tanzania na vitu vya ajabu ajabu. Tanzania ghala zaidi ya 42 za silaha zililipuka DAR na shughili zikaendelea kama kawaida. Hawa ndiyo wa kuwafananisha na poor turkanas in kenya? huu ni zaidi ya udhadhilishaji.Mimi si Tony alafu Kenya hakuna njaa walai uko Turkana mnasemanga wako na bunduki kuliko Askari wa daresalam nakwambia
We utakua wa Santon kasarani 🙂Nawasalimu waTz na Ke wote nikiwa Kasarani na Nina neighbour WaTZ wazuri sana wapenda amani Humu ninapoishi