Kq haina pilot wakihindi na wazungu?ukijibu ilo swali basi utakua umeeleweka vizuri sana
Mnatokwa hadi na makamasi kwa sababu mumeambiwa ukweli. Nyinyi hamna enough black pilots. Mpo nyuma sana.Huyu hapa ni mnubi?🙂
Sasa kwann unakimbia swali bro?jibu swali tumalize hii manenoMnatokwa hadi na makamasi kwa sababu mumeambiwa ukweli. Nyinyi hamna enough black pilots. Mpo nyuma sana.
Hayo ni mawazo yako tu🙂 na Sisi hatuna ubaguzi wowote ule as long weiye ni mtanzania na Una uwezo kufanya kitu flani maisha yanaenda 🙂Mnatokwa hadi na makamasi kwa sababu mumeambiwa ukweli. Nyinyi hamna enough black pilots. Mpo nyuma sana.
Hii ilikuwa dhahabu ya mkoa wetu.Alafu hizi zao lilianza kufa kule klm kahawa nyingi ziling'olewa mashambani...Ndio moja ya mazao yaliyowapa babu zetu utajiri na baba zetu kipindi kahawa iko kwenye mstari wake......
Nmefurahi kuona bado linathamani
Incredible
Hawa wamezoea kubaguana baina Yao wakenya full dharau,jeuri na majivuno🙂Bora umpotezeeSasa kwann unakimbia swali bro?jibu swali tumalize hii maneno
Hata kama tuna wahindi ni wachache mnoSasa kwann unakimbia swali bro?jibu swali tumalize hii maneno
Ndio ukaushe sasa blablah mingi sanaHata kama tuna wahindi ni wachache mno
Hata kama tuna wahindi ni wachache mno
Hapa umekurupuka[emoji23][emoji23][emoji23]Una khabari na unacho kizungumzia Dogo kama kuna country ambayo inasahau tamaduni Zake kwenye rate ya juu popote pale afrika ya mashariki ni Kenya tukianzia mavazi, vyakula vya kiasaili na ustaarabu ndo ilishawakimbiaga zamani Sana [emoji846]apart from Masai,turkana na wapokot na baadhi ya makabila pwani ya Kenya nitajie kabila lingine lenye kuzingatia tamaduni Zake Kenya?[emoji846]nyie ndo mna mambo ya kizungu Sana [emoji846]Una mkuta binti mdogo Kenya hawezi hata kusonga ugali [emoji846] kazi ni kupiga order,pizza Inn, Domino's,KFC, burger king Yani ikifikia swala la tamaduni mko kidigital sana
Hehehee!!kwn kwetu ndio hakuna wakenya ambao wana asili za ki asia na ki arabu[emoji23][emoji23]hawa wawili ni Raia wa Tanzania japokuwa wana asili za Kiasia na Kiarabu! kwetu sie hatuna ubaguzi nyie tayari mna dynasty vs hustler way ahead kabla ya 2022!
New york nairobi tu wanapiga wakenya weusi emu we tuonyeshe hao wazungu na wahindi wanapiga route ganiKQ mbona mnapilot wazungu na wahindi au wakiwa KQ siyo ishu?
Leo wamekua wakenya sio[emoji23][emoji23]