Kumbe wanigeria hawana akili na wanadanganyana. Kumbe Ndo maana nchi yao haitawahi kuendelea pamoja na kuwa na mafuta mapipa kibao
View: https://x.com/renoomokri/status/1783905258147565846?t=clc4dWb_pL3hLqDw8w7iYw&s=09
Wenyew siasa zao zinaendeshwa kwa ukabila na uongo mwingi.Huyo Reno Omokri hawezi kuona jicho moja na Peter Obi hata siku moja. Jamaa wamejaa ukabila sana kama nyang'au. Reno 'anamuunga' mkono Bola Ahmed Tinubu ambaye "alimshinda" Peter Obi kwenye uchaguzi uliopita.
Juzi kwenye ule uzi wa gazeti la mwananchi kuomba msamaha, kuna mtu alisema sababu ya mama Samia kupata 17% ni poll kuwa ya kiingereza. kama ingekuwa ya kiswahili ambapo raia wengi wa kawaida wangeshiriki basi angepata 2%. Naona jamaa utabiri wake uko kwenye margin of error.
Hata ikienda na speed zero wewe inakupa shida gani?😎Kumbe hii train yenu ilikuwa inaenda at a speed of 100km/h ?
Inachukua 4hrs a distance of 400km?😂😂
Now that we have ascertained that Kenyan trains are faster than Tanzanian trains.
Let’s now wait and see if their toy cargo trains can do this.
View: https://youtu.be/xXdpFpDqng8?si=UqKKDcX9Ti8LBnoL
Ng'ombe gani hiii 😂😂😂😂😂
Mkuu anika hiyo mbuzi. 🤣🤣🤣
Wakuu laleni kesho naruka nae live wahini 😂😂Eh... Mambo tayari huku..
Huu uzi unatisha bhas tu... Sometimes unajikaza kweli hadi kuweka post humu.. 😂😂😂
Pia kwa namna moja au nyingine uzi huu umeniheshimisha.
Umeona Tshisekedi na Ndashimiye kwenye sherehe za Muungano? Mwezi ujao reli ya Uvinza-Gitega-Kindu inapewa Mkandarasi.Kila sehemu wanaharibu, halafu wanaplay victim. Kama kawaida yao 🤣
Inawezekana kbs maana katika delegates ya Burundi waliongozana na magari ya Wakala wa Huduma za Ununuzi, Ila mimi nilihisi ni katika harakati za kumtafuta mkandarasi wa kipande cha TZ-BURUNDIUmeona Tshisekedi na Ndishimiye kwenye sherehe za Muungano? Mwezi ujao reli ya Uvinza-Gitega-Kindu inapewa Mkandarasi.