Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lakini haimaanishi hatusongi.
Hamuwezi songa kwa upuuzi huu nakwambia mutaishia kukopa mikopo isionafaida kwa maendeleo ya Kenya leo hii debt ya Kenya ni 60% debt to GDP ratio alaf munasonga kwenda wapi nchi haina hata pesa ya kujihudumia

 
Badala ya ubishi wewe fanya utafiti wako. Maeneo yote sawa
Forget it Zanzibar haina comparison EA! Kuna massive three real estate projects aside Bakhresa, Kuna German company n Blue Amber! Halafu kuna Russians, Italians n Swiss hata Waarabu pia!
Together r over $4 bln.


 
Yaani ndo hali halisi ya towns z
Mbona miji yote Tanzania ukipaa angani yageuka ujinga tu.....smh.Miji yote mbovu mbovu ikiongozwa na daresalaam View attachment 1285360
Ndo hali halisi ya towns zote Tzn ni uswazi slums za dream houses na govt haina shida sijui huwa wanawaza nini kuishi hovyo hovyo kama wanyama wasio reason
Kwani kuna shida gani govts au private sector kupima plots hata kama ni individual owned then wauze na watu wajenge hizo dream house zao kwenye planned and well organised plots
 
Km US Ipo sisi ni nani tusiwemo
People living in extreme poverty, as share of world total.

Nigeria: 15.7%
Congo: 10%
India: 8%
Ethiopia: 4.6%
Tanzania: 3%
Bangladesh: 2.3%
South Africa: 2.3%
Indonesia: 2.1%
Yemen: 1.6%
Brazil: 1.1%
China: 0.9%
Pakistan: 0.3%
US: 0.3%
Mexico: 0.3%

(World Poverty Clock)
 
Forget it Zanzibar haina comparison EA! Kuna massive three real estate projects aside Bakhresa, Kuna German company n Blue Amber! Halafu kuna Russians, Italians n Swiss humus Waarabu pia!
Together r over $4 bln.


hatar mkuu
 
Back
Top Bottom