Awa jamaa siwaelewagi wanajiona wana akili kuliko waafrika wote lakini wanasahau kuwa basic needs ndio muhimu kwanza kabla kujenga nchi.Huyo mara ya kwanza alijifanya mtanzania mbona alitubu mwenyewe![]()
Is that the only English word you know?😅😅😅Umepanic au ???😀😀😀😀
🤣🤣🤣 Ruvu in Dar.RUVU usijifanye hujui pia msimbazi
Hata hio nchi waliojenga iko wapi?? 😂😂😂 na hapo walijitenga na Africa wenzao hawakusaidia ukombozi wowote wa Africa wakajikita wao kama wao kwenye ubinafsi lakini leo angalia Mungu alivo wa ajabu hawana chochote mbele zaidi ya ushuzi wa bataAwa jamaa siwaelewagi wanajiona wana akili kuliko waafrika wote lakini wanasahau kuwa basic needs ndio muhimu kwanza kabla kujenga nchi.
😂😂😂😂 nijibu basi umepanicIs that the only English word you know?😅😅😅
Mbona nipanic na unanionyesha Eastlands😅😅😂😂😂😂 nijibu basi umepanic
Endelea kujipa matumaini huku ukweli unao mwenyewe😂😂😂😂Mbona nipanic na unanionyesha Eastlands😅😅
Vitu kwa ground ni tofauti😅 unajua hivyoEndelea kujipa matumaini huku ukweli unao mwenyewe😂😂😂😂
Arusha is near Nairobi/Kenya ko mambo mengi wanaiga Kenya kuanzia life style hadi kuwa aggressive in life issues
Kama hii CBD au sio 😂😂😂Vitu kwa ground ni tofauti😅 unajua hivyo
Unaleta picha ya miaka ishirini iliyopitaKama hii CBD au sio 😂😂😂View attachment 1287625View attachment 1287626View attachment 1287627
Yani Tanzania waige mambo Kenya kwa life style gani ??😂😂😂 mm hua nashangaa kwann manzi wa kikenya wanawapenda sana watanzania hua sijui kwannArusha is near Nairobi/Kenya ko mambo mengi wanaiga Kenya kuanzia life style hadi kuwa aggressive in life issues
So unaniambia hayo majengo yote yamebomolewa😂😂😂😂😂Unaleta picha ya miaka ishirini iliyopita
😂😂😂👇👇👇👇na hii
Unashangaa manzi uache kushangaa kwa normal citizens wa Tzn hasa arusha na Tarime kupenda waonekane wakenya kuanzia kuiga kichwahili cha kikenya na kujitambulisha,pole brooYani Tanzania waige mambo Kenya kwa life style gani ??😂😂😂 mm hua nashangaa kwann manzi wa kikenya wanawapenda sana watanzania hua sijui kwann
Wapi cbk?So unaniambia hayo majengo yote yamebomolewa😂😂😂😂😂
UAP imemalizika ujenzi 2015 na kwenye picha hio inaonekana ujenzi unaendelea😀😀😀
View attachment 1287632
Yani hamuna ujanja tena hapo mchina kawashika pabaya sana trust me 😂😂😂😂 na hili mukubali mukatae kenyatta nchi imemfia mkononiKuna shida ya kureview terms za deal? ama wewe ukiona tu SGR na China unaanza sherehe?
Mkikosa sababu ndio huwa mnasema hivyo. Wakenya ni wachafu, wanye wivu, wakabila, wana kiswahili kibaya as f, wanawake na wanaume wote wanatongozeka kirahisi (kama mlivyofanyiwa na China) ambazo hizi features zote hazipo Arusha. Acha bangi unazokula.Arusha is near Nairobi/Kenya ko mambo mengi wanaiga Kenya kuanzia life style hadi kuwa aggressive in life issues
Umeona UAP au hujaona kwanza 😂😂😂 CBk imeanza kujengwa mwaka huu kama sio mwaka jana mwisho akili yako iko sawaWapi cbk?