Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unashangaa manzi uache kushangaa kwa normal citizens wa Tzn hasa arusha na Tarime kupenda waonekane wakenya kuanzia kuiga kichwahili cha kikenya na kujitambulisha,pole broo
Unajua ww sometimes hua hakuona kama vile unachuki za kipuuzi sana 😂😂😂 yani maisha gani wakenya walionayo ili watanzania waige uko serious kweli wewe
 
Umeona UAP au hujaona kwanza 😂😂😂 CBk imeanza kujengwa mwaka huu kama sio mwaka jana mwisho akili yako iko sawa
Tumia akili... Hiyo picha inakaa panorama! Si kama ile yenu iliyonuswa na bomu
 
Hahaha 😂😂😂😂👇👇👇👇 probox ndio gari zilizojaa Kenya kuliko hata mifugo combined
 
Sio newyork hapa ni dar😂😂😂
View attachment 1287610View attachment 1287611
Mambo mengine kabishane na Mombasa na wanawacharaza kama watoto wadogo
😀😀
Mombasa-Silverstone-Air.jpg
kik2.jpg

swahili.jpg


PrideInn-Paradise-Beach-Resort-and-Spa-2.jpg

englishpoint-marina-hotel.jpg
 
Yani hili jengo ukiliangalia tu bila vipimo muda sio muda linaanguka, sijui ile elimu hua munajifanya mumesoma iko wapi????

 
Yani hamuna ujanja tena hapo mchina kawashika pabaya sana trust me 😂😂😂😂 na hili mukubali mukatae kenyatta nchi imemfia mkononi
Yaonyesha huelewi mambo ya economics na history. Yes he has failed, but the country will still go on. Moi mismanaged the country for 24 years and somehow we got back on our feet in 2003. Leaders change, bad and good deals are made. Only a food will be hoping for good leadership throughout.
 
Yaonyesha huelewi mambo ya economics na history. Yes he has failed, but the country will still go on. Moi mismanaged the country for 24 years and somehow we got back on our feet in 2003. Leaders change, bad and good deals are made. Only a food will be hoping for good leadership throughout.
Kwanza nashkuru kwa kukubali kua mume fail asante sana kwa hilo 😂😂😂😂😂
 
Kitu sisi wote husahau hapa ni kuwa Roma haikujengwa kwa siku na pia itakuwa vibaya kuweka imani yote kwa nchi yako na uongozi. Kuna mambo mengi beyond even the control of the president. Kwanza tukiwa wote developed countries we are too young to expect everything to work 100%. Na we're all slaves of global powers hata tuseme pesa ya ndani, ya nj etc. Bado tuna muda mrefu kufika level ambayo tunaweza sema tunajisimamia. Cha msingi nikupunguza risk ya hizo changes. Kuna wakati miji kama Detroit ndio ilikuwa yaongoza America, lakini wakati biashara ya magari ilienda Japan na China na pia after world war 2 hawakuwa competitive enough. Kama wewe ni mwanabiashara, msomi ama policy maker, yako ni ku observe mambo yanavyoendelea duniani na kuwa na akili ya kuona mambo kutoka different angles ili uweze kumake the right decisions. Nafurahia kuona picha za Dar ambazo kwa wakati nimekuwa huko sikupata nafasi ya kutosha kuona. Pia nafurahia kuona mmetengeza ligi yenu ya soccer na infrastructure to support that. Sitaki kuongelea mambo ya Nairobi na pia I'll avoid engaging in senseless debates on who's better. Kuna mambo Dar naona inafanya vizuri na kuna mahali naona bado sawia na Nairobi. Kama kweli huezi kutenganisha basi wewe na mtoto mdogo anayejua wazazi wake ndio werevu na wenye utajiri kabisa hauna tofauti.
 
People living in extreme poverty, as share of world total.

Nigeria: 15.7%
Congo: 10%
India: 8%
Ethiopia: 4.6%
Tanzania: 3%
Bangladesh: 2.3%
South Africa: 2.3%
Indonesia: 2.1%
Yemen: 1.6%
Brazil: 1.1%
China: 0.9%
Pakistan: 0.3%
US: 0.3%
Mexico: 0.3%

(World Poverty Clock)
 
Back
Top Bottom