ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,216
- 163,898
Hamuwezi songa kwa upuuzi huu nakwambia mutaishia kukopa mikopo isionafaida kwa maendeleo ya Kenya leo hii debt ya Kenya ni 60% debt to GDP ratio alaf munasonga kwenda wapi nchi haina hata pesa ya kujihudumiaLakini haimaanishi hatusongi.