Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aawapi leta distance ya Kisumu and Eldoret from Naitobi tu-compare!
Wewe hunanga akili.

JKIA to Kisumu is 280km by air
JKIA to Kilimanjaro is 234km by air
IMG_0178.png
IMG_0177.png
 
Wewe jamaa ni hopeless kabisa. Yaani unapima KM kwenye usafiri wa anga? Umeshawahi kusafiri na ndege kweli?

Angani hakuna barabara ya kupima distance mdogo wangu.
You are reasoning like a toddler. No wonder hakuna Mkenya anashughulika na wewe. Who told you distance is only measured on roads? Idiot.
 
You are reasoning like a toddler. No wonder hakuna Mkenya anashughulika na wewe. Who told you distance is only measured on roads? Idiot.

😀 😀 😀 Kwani unadhani nahitaji mkenya ashughulike na mimi? Who is a Kenyan by the way? Zaidi ya njaa what else do you have?
Usafiri wa ndege siyo kama gari mdogo wangu unaenda straight line kama barabara.

Unaweza kuona mombasa ni karibu kwa basi lakini ikawa difficult kwa ndege. Kutaka kubishana kila kitu inakufanya uwe mpumbavu. Sometimes accept opinions za wengine. fala wewe
 
Back
Top Bottom