kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,712
hawa jamaa ni. majobless proper.40% kenya population are unemployed
Unemployment in Kenya, what you should know
hawa jamaa ni. majobless proper.40% kenya population are unemployed
Unemployment in Kenya, what you should know
Jamaa wewe mjinga sana. Economic hujui. Au u ataka tukufundishe uchumi? Unajua maana ya PPP.Ubaya ni kwamba hamujui kufanya research before posting things here on jf. This same website quotes Tanzania's unemployment rate at 10.30% against Kenya's 11%. Thatbone aside, you should have looked at the different important statistics provided by the site like Minimum Wage, Living Wage Individual, High Wage Skilled, Living Wage Family etc between these two countries. Kenya scores high on all these yet mnapiga kelele hapa. Fir instance, Living Wage Individual in Tanzania is 305,500 (approximately Ksh15,000) while in Kenya it stands at Ksh24,000. Hakuna siku Tanzania itashinda Kenya in anything
achana nae huyo,hajielewi..!!nakuchora tu the way ulivyo mjinga.........mwenye akili ndogo..
Hebu niambie. Mimi sijui inamaanisha niniJamaa wewe mjinga sana. Economic hujui. Au u ataka tukufundishe uchumi? Unajua maana ya PPP.
aende kukutana na wakenya wenzakeangalau kidogo aende akatoe tongotongo... aachane na ule ujinga wake wa tour za mashinani.
View attachment 793074
kwani wewe ukisikia neno "kiwanda",akili yako huwa inawaza nini??viwanda gani bro. jua kutofautisha kati ya viwanda na 'vi-wonder'.
Lupita yule anayelamba matako ya wazungu mamtoni??aaahh acha utani budaaUnataka Ku compare Lupita na Diamond we MBUZI.!! Then you Must Be the Greatest fool ever to walk this earth... HEBU Nipe Oscar winner yeyote kutoka Tz
Ii ni 7s??FT [HASHTAG]#KENYA[/HASHTAG] 42-10 ARGENTINA
hebu rudia point yako mm sijakuelewaMna mambo nyinyi inakuwaje Zanzibar wanatumia Jeshi kujenga uchumi. Kwani ni nyumba
yeah game next ni na wales...6pmIi ni 7s??
hahaaa we jamaa ulisema na aslay humjui..!!hadi nandy humjui... basi we hukai nairobi utakuwa unaishi korogocho ndani ndani huko vijijini!!pole sana..mimi mwenyewe sijui nandy..ndio nlimuona kwa tweets za citizen TV Jana....
sasa kuchora ndo kujenga??hivi huwa mnapost baada ya kushiba chang'aa au???Kenya haina wajenzi wakati hata zile three blue towers zenu zote zilichorwa na wakenya!
kabisaahahaaa we jamaa ulisema na aslay humjui..!!hadi nandy humjui... basi we hukai nairobi utakuwa unaishi korogocho ndani ndani huko vijijini!!pole sana..
napelekana wapi na manyimbo za kiswahili...hahaaa we jamaa ulisema na aslay humjui..!!hadi nandy humjui... basi we hukai nairobi utakuwa unaishi korogocho ndani ndani huko vijijini!!pole sana..