ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hehheheh soma hii official link vzrAcheni kudanganya watu hapa. Kwa hivyo unemployment rate yenu iko chini kushinda hata ya US!!? Uzuri ni kwamba huwezi danganya mtu in this era of the internet
Tanzania Unemployment Rate | 2001-2018 | Data | Chart | Calendar | Forecast
😀😀😀😀mm nilijua hamuwez kuamini
munaona ajabu wakat kwenu unemployment rate is 40% yani munaskitisha sana uchumi wote na kazi zote ardhi yote imeshikwa na investors na settlers
Tanzania - unemployment rate 2007-2017 | Statistic